Balozi Turkey alivyoponea chupuchupu kuvunjwa kichwa. Mpigaji naona hakuzipanga vyema karata zake. Alijaribu kufyatua huku bastola ikiwa kwenye safe akashindwa kutekeleza nia yake. Nu huko mjini Moscow Russia.
Sasa sijui ndiyo kusema urusi nao wanataka kulipiza kisasi cha kupigwa risasi balozi wao au ndiyo mwendelezo wa hii cinema yao .
Najiuliza maswal hiv huyo kama alipanga kumpiga risasi alishindwa vip kuandaa hiyo bastola yake iwe tayar kwa tukio
Na swal jingine amewazaje kuwapita walinzi ambao wanaonekana walikuwa karibu bila kufanyiwa ukaguzi
Haya matukio mawili ya kule uturuki na hili la huko Russia yana maswal mengi ya kujiuliza