Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 36,155
- 30,833
Akihutubia na kutoa majibu na ufafanuzi muhimu sana dhidi ya upotosha uliotolewa na mataifa mablimbali kuhusu matukio ya kabla ya uchaguzi mkuu, wakati wa uchaguzi na baada ya uchaguzi mkuu huru, wa wazi na wa haki uliofanyika Oct.29,2025, makamo wa rais wa kikao hicho cha baraza alionekana kukerwa na ukweli wa balozi dr. Possi na kulazimika kumzimia mic na kukatisha hotuba ya Dr.Possi iliyojaa mambo muhimu na ya msingi zaidi dunia kufahamu.
Akihutubia kikao cha 61 cha baraza la haki za binadamu, Dr.Possi ameeleza kusikitishwa na taarifa za kupotosha za upande moja za mataifa na taasisi kadhaa za kimataifa, huku kwa makisudi wakifumbia macho ukweli halisi juu ya kilichotokea Oct.29.2025.
Kiukweli, balozi Dr. Abdalah Possi ni mtu na nusu mbele ya mabwenyenye ya magharibi, ambao walikua kimya mno wakati balozi akiudadavua na kuweka wazi kweli mtupu dhidi ya uongo wao mabwenyenye, balozi Possi aliweka bayana namana serikali sikivu ya CCM chini ya Dr.Samia Suluhu Hassan, ilivyosimamia na ilivyoshughulikia dosari na changamoto ndogondogo za uchaguzi kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi.
Mungu Ibariki Tanzania
View: https://youtu.be/NQTikDfGIIU?si=UnE3agEAaFciz8Lb

Sikiliza hotuba hiyo ya maana na ya kihistoria, lakini pai shuhudia namna hotuba hiyo muhimy ya balozi Possi, livyokatishwa kihuni.Mungu Ibariki Tanzania