Fundisi Muhapa
JF-Expert Member
- Nov 25, 2013
- 4,422
- 2,112
Amesisitiza waTanzania tuzungumze kiswahili popote tulipo duniani ili kukikuza.
Janeth amebeba msalaba mzito sana kuliko hata ule wa "goligota".Salma bado anakimbiza Kitaifa na Kimataifa kwa kuwa Janeth hataki kuchukua nafasi yake
Janeth amebeba msalaba mzito sana kuliko hata ule wa "goligota".
Anahitaji maombi kila sekunde iendayo kwa Mungu.