ilo li jamaa aliyeleta huu UZI ni mbweha kweli yaani unamtamani kamzungu ambe huwezi hata onana nae , bro mwenzanko hawezi wazia vitu ambavyo we unawazia saa hii nikushauri uendelee kunywa mchuzi wa pweza ili uwakomeshe wademu wa bongo tu
Akili za Africa 80% anapo ona mwana mke hata kama ameshikilia dhahabu akili zake zinampeleka kuwaza ngono tu...... kweli tutafika uchumi wa kati wa viwanda