bukoba boy
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 5,376
- 3,976
Unatambua mipaka ya katibu mkuu kiongozi au unaongea tu?kama yeye nahao walio chini yake waliteuliwa na Rais hasingeweza kuwaondoa au kuwawajibisha bali Rais aliyewateua,msikurupuke tu,ebo!!
Nimesema awaondoe?Nimesema kwanini hakuchukua hatua,kwani kuchukua hatua ni kuwaondoa tu?
Job description ya Chief Secretary unaijua?
Unatambua mipaka ya katibu mkuu kiongozi au unaongea tu?kama yeye nahao walio chini yake waliteuliwa na Rais hasingeweza kuwaondoa au kuwawajibisha bali Rais aliyewateua,msikurupuke tu,ebo!!
Nayeye uteuzi wake utenguliwe tu sababu anahusika na kila jipu linalotumbuliwa,Yeye ndio Katibu mkuu kiongozi(mkuu wa utumishi wa umma),haiwezekani makosa ya watu wa chini yake asihusike.
JPM ili kweli kuondoa hayo mapandikizi, muwajibishe Sefue.
... Naam, alitakiwa kumshauri Raisi vizuri !!! Naye ni shidaa tu ...
Yametimia.we acha jazba subiri tuu muda si mrefu utasikia puuuuh! watu wanaokota vyao safari ya kumlaki bwana!
Duh! nyie vijana hamuogopi hata kulogwa ?Nayeye uteuzi wake utenguliwe tu sababu anahusika na kila jipu linalotumbuliwa,Yeye ndio Katibu mkuu kiongozi(mkuu wa utumishi wa umma),haiwezekani makosa ya watu wa chini yake asihusike.
JPM ili kweli kuondoa hayo mapandikizi, muwajibishe Sefue.
Tunatoa tu madukudukuDuh! nyie vijana hamuogopi hata kulogwa ?
tatizo wanaccm wameifanya siasa kama ajira ya maisha yote , hebu fikiria mtu kama Mh Waziri na katibu mwenezi wa chama , ndugu Nape , mtoe kwenye ajira ya kisiasa halafu mfungulie duka la spea za magari gerezani , mpachike na mashine ya EFD uone kama atakuwepo baada ya miezi 6 .Tunatoa tu madukuduku
Majibu umeyapataUnatambua mipaka ya katibu mkuu kiongozi au unaongea tu?kama yeye nahao walio chini yake waliteuliwa na Rais hasingeweza kuwaondoa au kuwawajibisha bali Rais aliyewateua,msikurupuke tu,ebo!!