Balozi Mulamula: Tanzania IPO uchumi wa Kati.Dar es Salaam.
Serikali ya Tanzania imeeleza kusikitishwa na hatua ya Serikali ya Denmark kuamua kufunga shughuli za Ubalozi wake nchini Tanzania ifikapo mwaka 2024.
Denmark jana ilitangaza uamuzi huo ambao ulihusishwa na mkakati wao mpya wa masuala ya mambo ya nje. Mbali na Tanzania pia nchi hiyo itafunga ubalozi wake nchini Argentina, Ubalozi mdogo wa Chongqing nchini China na ujumbe wa biashara huko Barcelona (Uhispania).
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula leo Jumamosi Agosti 28, 2021 amesema hatua hiyo ya Denmark inasikitisha ikizingatiwa kuwa hivi karibuni Serikali ya Awamu ya Sita imekuwa ikifanya jitihada za kufufua na kuimarisha diplomasia na uhusiano wa nchi rafiki ikiwemo Denmark.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo imeeleza kulikuwa na jitihada za kuimarisha mazingira ya biashara na uwekezaji nchini pamoja na kuimarisha demokrasia na utawala wa sheria.
Aidha taarifa hiyo inaeleza Balozi Mulamula jana alifanya mazungumzo kwa njia ya mtandao na Waziri wa Ushirikiano wa Maendeleo wa Denmark, Flemming Mortensen ambapo walikubaliana kuendelea kushirikiana na Mortensen anatarajia kuzulu nchini siku zijazo.
“Pamoja na hatua iliyochukuliwa na Denmark, ni matarajio ya Tanzania kuwa Serikali ya Denmark itaendelea kushirikiana na Tanzania kwenye masuala mbalimbali ya maendeleo ikiwa ni pamoja na kuunga mkono ajenda za Tanzania katika Umoja wa Ulaya, Umoja wa Mataifa na majukwaa mengine ya kimataifa,” inaeleza taarifa hiyo.
Dar es Salaam.

Halafu warudi mtaani kututungia uongo mwingine?Hapana.Watupwe jela!Mulamula,KABUDI ,Mollel na Gwajima,mwigulu,
Watumbuliwe.
Bado hawajaondoa.1. Denmark vyama vya mrengo wa kukataa kutoa misaada nje vimechukua madaraka.
2. Tanzania tumesaidiwa miaka mingi na hatuelekei kusaidika.
3. Rais aliyepita alijifungia sana na kukataa kupalilia mahusiano ya kimataifa.
4. Nchi inaendeshwa kijinga sana, hususan miaka 6 iliyopita. Tanzania ambayo wa Dane walifikiria itajuwa tangu enzi za Nyerere, na ilivyokuja kuwa, ni vitu viwili tofauti.
5. Wa Dane wameona hakuna tija kuendelea kuwa na Ubalozi Tanzania.
1. Denmark vyama vya mrengo wa kukataa kutoa misaada nje vimechukua madaraka.
2. Tanzania tumesaidiwa miaka mingi na hatuelekei kusaidika.
3. Rais aliyepita alijifungia sana na kukataa kupalilia mahusiano ya kimataifa.
4. Nchi inaendeshwa kijinga sana, hususan miaka 6 iliyopita. Tanzania ambayo wa Dane walifikiria itajuwa tangu enzi za Nyerere, na ilivyokuja kuwa, ni vitu viwili tofauti.
5. Wa Dane wameona hakuna tija kuendelea kuwa na Ubalozi Tanzania.
Hata mimi sijasema wameshaondoa.Bado hawajaondoa.
Wataondoa ubalozi wao hapa nchini mwaka 2024.as of now bado wapo!
Kuna argument kwamba hii decline ikianza muda nrefu, JPM kamalizia tu.chanzo cha haya yote JPM
Kuna argument kwamba hii decline ikianza muda nrefu, JPM kamalizia tu.
Tanzania imesaidiwa sana, lakini hatuna cha kuonekana.