Wont be the same
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,564
- 2,483
Balozi Liberata Mulamula amechukua fomu rasmi leo tarehe 28/6/2024 katika Ofisi za UWT, Taifa, zilizopo jijini Dodoma, kuwania kiti cha ubunge Viti Maalum katika kundi la Vyuo Vikuu katika uchaguzi ujao.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Mwanadiplomasia wa Tanzania amewahi kuwa Balozi wa Tanzania Nchini Marekani pamoja na Mexico na pia kuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania.
Chanzo: Kitenge