Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,770
- 1,173
Balozi wa Tanzania nchini Uswidi, Mhe. Mobhare Matinyi (kulia katikati) akizungumza na maafisa itifaki wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Ufalme wa Uswidi pamoja na maafisa wa ubalozi wa Tanzania nchini humo mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa jijini Stockholm, Ijumaa tarehe 2 Mei, 2025.