Balozi Hamis Kagasheki this is too much

Mkuu, kwahiyo kua ccm ndo tusapoti ubashite?
 
Kwa hiyo CCM mnakubaliana na ZERO, ZERO, ZERO.
 
Unailaumu redio kweli?
Au unataka na sisi ambao hatuisikilizi tujue kinachoendelea BK
 
ZERO ZERO ZERO Radio ni ya kwake hakuna aliyempa pesa ya kuwekeza hivyo asipangiwe cha kutangazwa kwenye radio yake.
 
Zero zero zero haina tatzo hamna mwenye hati miliki ya maneno hayo ,ila jiwe likitupwa gizan ukisikia uwiiiiii
 
Radio ni yake vifaaa kanunua yeye kwani ulimsindikiza kulipa kodi

Ila ngoja bashite alete timu yake uko na kuweka kambi awanyooshe
 
Stupid and instigative mindset. Kipindi hicho kipo toka zamani, acha kutufarakanisha ktk Chama.
 
Mpaka huko mnamjua mh wa matukio? Msiwaanze tu ma RC wenu, maana mikoani kwa kuiga hamjambo. Kikitokea Dar, na nyinyi hao.
 
TULIA WEWEEE[emoji12] [emoji12]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…