Balozi Hamis Kagasheki this is too much

Mtini

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2011
Posts
1,493
Reaction score
2,366
Hapa bukoba mjini kuna redio inaitwa kasibante inamilikiwa na aliyekuwa waziri wa maliasiri na utalii Balozi Hamisi Kagasheki. Tangu tamko la kutoandika habari za RC Makonda litoke wao wamebuni kibwagizo kinachosema " ZERO ZERO ZERO" na kinapigwa kila baada ya sekunde 30 wakati wanacheza nyimbo. Nasema thisi is too much kwa sababu Kagasheki ni kada wa CCM, chombo chake kufanya hivi huu ni usaliti, Magufuli anakuona ujue.
 
Npe frikwensi zake au namna ya kuisklza ukiwa dar
 
Leteni vyeti haya yataisha. .
 
Hicho kibwagizo ni kizuri sana ni bora kihamie radio zote ili Daud apate kusikia mwenyewe
 
Utakuwa mnafiki #1. Kumbuka JPM alisema hataki wanafiki ktk chama na serikali yake.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…