johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Kulea kichanga uzeeni unafikiri kazi ndogo?Lila ninapomsikia Padre Kitima akitema cheche huwa namkumbuka sana yule Jasiri wa Chadema Dkt. Slaa
Yuko wapi Dkt. Slaa maana hasikiki kabisa?
Sabato njema
mbaya zaidi kichanga kikiwa ni cha mtu mwingine,Kulea kichanga uzeeni unafikiri kazi ndogo?
Wacha apumike siasa, mpaka msikie amekufa na presha kwenye nyomi?Lila ninapomsikia Padre Kitima akitema cheche huwa namkumbuka sana yule Jasiri wa Chadema Dkt. Slaa
Yuko wapi Dkt. Slaa maana hasikiki kabisa?
Sabato njema
Umejiskia raha sana dr mihogo anavyotukanwa?Lila ninapomsikia Padre Kitima akitema cheche huwa namkumbuka sana yule Jasiri wa Chadema Dkt. Slaa
Yuko wapi Dkt. Slaa maana hasikiki kabisa?
Sabato njema
Acha hizo bwana mmesahau ujinga mlioufanya wa kumleta Kisasa mpaka chama kikaparaganyika?na upuuzi huo huo mkaurudia tena kwa akina mzee?hebu tuwe wakweli na huo ndio unafiki wenyeweSlaa hana ujasiri wowote wala hana principle.
Kama alikuwa akimsifu jiwe na ule upuuzi wake kisa cheo cha ubalozi
Acheni kuingilia faragha za watu.ameisha, wife anampeleka speed
Kwani padre ni malaika hata wewe unamapungufu yako.hivi hawa wengine waliokumbwa na kashfa hizo ni mapadre tu?hakuna mashehe,viongozi madhehebu mengine au unabifu na wakatoliki?utachelewa sana huo ni mhimili ulio imara siku zote na hauyumbishwi.Huyu mzinzi si ajabu Leo angekuwa mahakaman na mwenzake wa Moshi ....aliyenaswa kwa watoto kumi.
Padre, Padre....padree tutaweka wapi watoto wetu?
Hawa mapadre ukiwaona kwa njee utatamani uwape ndugu zako wawalee...ukiwajua kwa ndani hutataka hata mtoto wako was kiume kuwakaribia
Sijasema cadema walichofanya ni sahihi lakini hata Slaa ni mchumia tumbo tuAcha hizo bwana mmesahau ujinga mlioufanya wa kumleta Kisasa mpaka chama kikaparaganyika?na upuuzi huo huo mkaurudia tena kwa akina mzee?hebu tuwe wakweli na huo ndio unafiki wenyewe
Katoliki imehusikaje hapo?Kwani padre ni malaika hata wewe unamapungufu yako.hivi hawa wengine waliokumbwa na kashfa hizo ni mapadre tu?hakuna mashehe,viongozi madhehebu mengine au unabifu na wakatoliki?utachelewa sana huo ni mhimili ulio imara siku zote na hauyumbishwi.
Hata CCM ni wachumia tumbo, hasa Magufuli na lile genge lakeKwahiyo Chadema wote mnachumia tumbo!
Mawe na spana alizopigwa hapa jf kwa unafiki wake wa kuitukana Chadema na huku anaishi kwenye nyumba ya chama hicho , vimemstaafisha siasa .Lila ninapomsikia Padre Kitima akitema cheche huwa namkumbuka sana yule Jasiri wa Chadema Dkt. Slaa
Yuko wapi Dkt. Slaa maana hasikiki kabisa?
Sabato njema