Nelson Kileo
JF-Expert Member
- Oct 29, 2011
- 3,062
- 3,280
Aisee niwapongeze sana uwongozi mzima wa kinywaji cha Balami lager , Sijui walikua wpi mda Wote , ila Kila Nikipita Balami ni kati ya Bia zinazonyweka kwa wingi sana kiasi cha wauzaji kukuambia Hawajawahi uza Bia kwa speed kama Ilivyo Balami..
Sijawahi ijua Ladha yake , ila najiuliza Imependwa kutokana na Ubora ? Bei ? Ama changamoto ya kukosa Mbadala kwa wanywaji Baada ya Pombe za makaratsi kufungiwa .
Maajabu ya Bia hii inauzwa kwnye Bar zote hadi baadhi ya Hotel Kubwa , Nna uhakika Huwezi Kosa Balami Serena.
Hongereni sana Balimi kwa Mauzo Makubaa, Hongera TRA kwa kupata Kodi .
Safari zile Ndogo nadhani pia ni 15000/= wht abouy Plesner lager . Je Vip Safari za Kopo nadhani ni 2000/=Balimi ni bia nzuri nishaionja!licha mimi ni mdau mkubwa wa safari lager....
Kikubwa tu watu wengi wamehamia kwenye balimi kwa sababu ya bei yake kuwa nafuu pia.
Ova
....kaza mkono wewe mtoto wa kiumeSafari zile Ndogo nadhani pia ni 15000/= wht abouy Plesner lager . Je Vip Safari za Kopo nadhani ni 2000/=
Ipo kitu ndani ya Balami
Safari ndogo nazo ziliokoa jahazi ....piaSafari zile Ndogo nadhani pia ni 15000/= wht abouy Plesner lager . Je Vip Safari za Kopo nadhani ni 2000/=
Ipo kitu ndani ya Balami
Nahisi harufu ya nnya..... hapa....kaza mkono wewe mtoto wa kiume
...unaandika umelegeza vidole ka unapaka hina;
.kuna mamende humu!
15000/= kwa kreti au bia moja?Safari zile Ndogo nadhani pia ni 15000/= wht abouy Plesner lager . Je Vip Safari za Kopo nadhani ni 2000/=
Ipo kitu ndani ya Balami
... Je kwenye orodha ya nchi maskini duniani Tanzania ni ya ngapi? Yaaani mkulima ambaye hana uhakika wa milo mitatu unategemea anywe Heineken?bia za maskini hizo