Balali aonekana ugly places

Balali aonekana ugly places

Delegate

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2012
Posts
331
Reaction score
203
Watanzania wenzangu
Yule gavana wa Benk kuu ya Tanzania aliyejificha nchini marekani tumepata taarifa za uhakika kutoka kwa ndugu zetu waliopo huko kuwa amekuwa akionekana maeneo ambayo ni very cheap kulingana na hadhi yake'je inawezekana huyu mzee aliyejificha Marekani na kudanganya Watanzania kuwa amefari ameanza kufilisika?kama ni kweli basi ajiandae kuvuna alichopanda'Mungu tunayemwamini ataweka hadharani mambo yote yaliyo gizani!
 
Jitahidini basi mpate hata ka picha maana tuna usongo sana na huyu jamaa ili aje kuweka mambo hadharani
 
Ccm wanajua sana jambo hili kwa manufaa ya chama, ccm ina dhambi kubwa, ngoja twende mbele kidogo...
 
labda ni njia ya kujifanya sio yeye....
 
Watanzania wenzangu
Yule gavana wa Benk kuu ya Tanzania aliyejificha nchini marekani tumepata taarifa za uhakika kutoka kwa ndugu zetu waliopo huko kuwa amekuwa akionekana maeneo ambayo ni very cheap kulingana na hadhi yake'je inawezekana huyu mzee aliyejificha Marekani na kudanganya Watanzania kuwa amefari ameanza kufilisika?kama ni kweli basi ajiandae kuvuna alichopanda'Mungu tunayemwamini ataweka hadharani mambo yote yaliyo gizani!

Yaleyale tuliyoambiwa Sokoine anaonekana ofisini

Sent from my BlackBerry 9700 using Jamii Forums
 
sehemu cheap ndo zipi?au kwenye madampo ya uchafu?
 
jamaa akufa wala yupo hai kwa obama na ilo linajulikana kama mtu anabisha kaburi lake lifukuliwe ili lichunguzwe kilichomuua kama amtakuta mdoli na sanda pekee.
 
Matukio tuuu sasa sio bunge la bajeti tena wala kibanda,ni arusha ndio story sasa naona inakuja zilipendwa tuhamishwe arusha nchi ya matukio na hujuma ili wao wafanye yao tuwe makini sana.....
 
DAUDI BALALI yupo hai.believe or not.
 
Ni dalali au?

"To know the enemy is half the victory"
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom