Kumbe unafikiri ..huna uhakika. Hakika wewe ni mrusi wa Nyakanazi.Hivi kulikuwa na wanajeshi milioni ngapi kwani? Maana tangu huyu mtoa mada aanze kutupia habari za kuuawa kwa wanajeshi wa urusi nafikiri sasa wanafika 2,000,000.
Hivi kulikuwa na wanajeshi milioni ngapi kwani? Maana tangu huyu mtoa mada aanze kutupia habari za kuuawa kwa wanajeshi wa urusi nafikiri sasa wanafika 2,000,000.
Unajua kinachowafanya Warusi wasustain hivi vita ni wingi wao.Lakini wanapelekewa moto si kidogo na wanakufa wengi Sana🤔
......
Hii imepelekea vikosi vya Urusi vilivyompakani na Ukraine kuanza kujiandaa kwa vita.
....
Warusi wako sawa na mnyama nyumbu.Wanajua kabisa mto una mamba lakini kwa ujinga wao wanaCross.Warusi ni wazungu wa hovyo sana, yaani hupelekeshwa kijinga sana hata kwenye vita vya pili vya dunia walikufa sana, Stalin aliwatumia kama senene.
Hebu waza walivyokufa pale Bakhmut juzi na sasa kidogo walichokua wametwaa kimeanza kuwatokea puani, palikua na haja gani ya kufa kihivyo.
Mi nikitaka kujua hiyo idadi tu basi, hilo la ugonjwa wako wa akili watakuja kushughulikia maspecialistWamefikia 247,850 hiyo ni kama ujumuishe majeshi ya EAC na Afrika ya Kati, niliwaambia mliingia kwenye kumuabudu mtume Putin aliyewaingiza chaka, poleni.
Habari ya asubuhi mkuu!Kumbe unafikiri ..huna uhakika. Hakika wewe ni mrusi wa Nyakanazi.
Kulingana na habari nilizozisikia asubuhi hii kupitia Dw ni kwamba UKRAINE hakuna la maana wanalolifanya huko vitani zaidi ya kupoteza muda huku wakiendelea kubamizwa.Haya madubwana ni hatari sana.....
UKRAINE has reportedly wiped out hundreds of Russian soldiers who thought they were out of the range of danger.
Sources say five US-made HIMARS missiles slammed into the squaddies who were gathered on a beach in the Kherson region.
7
Up to 200 of Putin's troops are believed to have been gathered on Dzharylhach IslandCredit: East2West
7
Explosions then engulfed the beach as Ukraine unleashed five HIMARS missilesCredit: East2West
7
Russian forces are believed to have been taking part in separate training exercisesCredit: East2West
It is claimed that up to 200 of Vladimir Putin's men were on the occupied Dzharylhach Island when the strikes occurred.
Drone footage shows infantry troops apparently training in separate groups just moments before explosions engulfed the shoreline.
The soldiers are suspected to have believed they were safe from attack as they were too far away from the frontline to be hit.
But their false sense of assurance quickly vanished as five fearsome HIMARS missiles, with a range of 50 miles, rained down.
Mi nikitaka kujua hiyo idadi tu basi, hilo la ugonjwa wako wa akili watakuja kushughulikia maspecialist
Kulingana na habari nilizozisikia asubuhi hii kupitia Dw ni kwamba UKRAINE hakuna la maana wanalolifanya huko vitani zaidi ya kupoteza muda huku wakiendelea kubamizwa.
Hata kama ni propaganda ili kuwatisha warusi haitakiwi iwe hivyo.Juzi 600 na kabla ya 500. Na wote waliokufa urusi wako karibu laki moja.Haiwezekani kabisa.Wao Ukraine sehemu iliyobaki wanawatoa wapi hao askari wanaoua warusi tu kila siku.Haya madubwana ni hatari sana.....
UKRAINE has reportedly wiped out hundreds of Russian soldiers who thought they were out of the range of danger.
Sources say five US-made HIMARS missiles slammed into the squaddies who were gathered on a beach in the Kherson region.
7
Up to 200 of Putin's troops are believed to have been gathered on Dzharylhach IslandCredit: East2West
7
Explosions then engulfed the beach as Ukraine unleashed five HIMARS missilesCredit: East2West
7
Russian forces are believed to have been taking part in separate training exercisesCredit: East2West
It is claimed that up to 200 of Vladimir Putin's men were on the occupied Dzharylhach Island when the strikes occurred.
Drone footage shows infantry troops apparently training in separate groups just moments before explosions engulfed the shoreline.
The soldiers are suspected to have believed they were safe from attack as they were too far away from the frontline to be hit.
But their false sense of assurance quickly vanished as five fearsome HIMARS missiles, with a range of 50 miles, rained down.
Hata kama ni propaganda ili kuwatisha warusi haitakiwi iwe hivyo.Juzi 600 na kabla ya 500. Na wote waliokufa urusi wako karibu laki moja.Haiwezekani kabisa.Wao Ukraine sehemu iliyobaki wanawatoa wapi hao askari wanaoua warusi tu kila siku.
Putin anaRecruit wapiganaji kila mara kufidia loss.Kumbuka wale laki 6 pamoja na Wafungwa wa Wagner mercenaries,akiwemo yule mbongo aliyeuwawa huko.Pia Hata Crimea kuna waukraine Zaidi ya elfu 60 walilazimishwa kupigana vita.Huyu superpower wa mchongo ana janjajanja nyingi sana.Anajifanya anakomboa maeneo yake huku analazimisha anaowaita raia wake kupiga a vita wao kwa wao 🤔Hivi kulikuwa na wanajeshi milioni ngapi kwani? Maana tangu huyu mtoa mada aanze kutupia habari za kuuawa kwa wanajeshi wa urusi nafikiri sasa wanafika 2,000,000.
Hazina uwezo wa kuua kwa namna hiyo. Na warusi nao hawajikushanyi maeneo ya vita kama walio harusini. Himaris zinatumia marisasi ya 155mm ambayo hata kama litatua sehemu walipo warusi 200 basi litau wachache,wengine watajeruhiwa na wengine wataendelea na shughuli zao.Sio askari wanaua, ni silaha za maangamizi makubwa, yaani HIMARS, Storm Shadow na mazagazaga mengine, moto yaani moto....
Sasa Ulraine wasubiri na wao wajibu mubashara ya Russia. Mwamba atawafurahisha!
Urusi iliwaambia watu HIMARS hazifanyi tena kazi zimekuwa jammed!Safi sana,waondoke kwenye nchi ya watu.