Balaa ni zito mchepuko kashika mimba

Amuoe mchepuko. Aachane na huyo fiance. Naona deep kasema mwanaume msimamo. Fiancee angeshika mimba huyo jamaa angeoa??? Ili kuonesha responsibility mwanaume abebe jukumu lake ipasavyo. Mwanaume una mwanamke na mmeshaamua kuianza safari. Unataka kuiga watu wenye ndoa za miaka 20 au 10...smh

Hakuna ndoa apo. If he cheats b4 marriage..he will always cheat
 
Mwambie asipaniki.
Atulie. Mwanaume hapaswi kupanic. Tumeumbwa kuhimili mihemuko.

Huyo side chiki ampe matumizi tu na kulea hiyo mimba.

Asithubutu kushauri atoe hiyo mimba au kumkimbia.

Kwa huyo mke wake litajibika mbele kwa mbele. Akigundua akaleta vagi atampiga chini anaoa mama kijacho.

Atakuja kunishukuru baadaye.
 
Acha huu ushauri mkuu.
Nina ushuhuda mmoja matata Sana
Anayehitaji atanifuata inbox.
Lakini usithubutu kutaka kutoa mimba ambayo ndio imeshatungika.
Kama uwezo wa kulea unao Lea hiyo mimba.
 
Kumbe mama J yuko sahihi wacha akuvuruge atakavyo hamnaga jema kwa michepuko.
 
Huu ni upuuzi na kutengeneza watoto wasio na baba

Mtahukumiwa
 
Hakuna balaa lolote hapo jamaa amuoe huyo mchumba wake kimyakimya mambo mengine yatajiseti mbele kwa mbele mbona mimi nina mchumba na ndoa mwakani nimepiga mimba watu wawili na mmoja ni mke wa mtu na niko poa tu nimekula mikausho mikali.
Upuuzi kujisifia jinsi usivyolea wanao
 
Hakuna balaa lolote hapo jamaa amuoe huyo mchumba wake kimyakimya mambo mengine yatajiseti mbele kwa mbele mbona mimi nina mchumba na ndoa mwakani nimepiga mimba watu wawili na mmoja ni mke wa mtu na niko poa tu nimekula mikausho mikali.
Wakianza kuimba nani kama mama mkae kwa kutulia
 
Anapanic nini na aliona mwanamke mmoja hamtoshi?

Aoe wote
Huo ndo uanaume
 
Shida ipo wapi kwani mwache azae uyo bibie yeye mkulungwa asubili kulea mtoto wake tu
 
Hata mimi sioni cha kukufanya mwanaume uwe mnyonge juu ya hilo.Au anamtegemea kiuchumi huyo anaye taka kumuoa?
 
Ukiona mtu anakuwa na mawazo lukuki kwa kumtia mchepuku mimba hana akili na pesa hana pia, ulikuwa unapiga peku unategemea nini sasa, na halafu kama unapesa haisumbui kabisa hiyo wala mkeo haleti neno lolote lile
 
Huu ni upuuzi na kutengeneza watoto wasio na baba

Mtahukumiwa
Mtoto haiwezi kua tiketi ya moja kwa Moja kuolewa,

Kama jitu linatabia zake mbovu za kujirudi rudia tutalea TU mtoto na sio kuoa kuweka ndani.

Ujue kuishi na mtu pasua kichwa ni hatari Sana kwa maisha yako.

Ni sawa na Mimi unambie nimuoe mamaJ usawa huu, kesho TU mtaniimbia R.I.P humu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…