MZEE I DOUBT YOUR INDICES!! but tushaona wengi wa dizaini yako,wee utapita na wengine watakuja tuu that is politics,ila jua CDM wankutumia vibaya,kwani CDM huko peke yako?? kwanini wakupe mzigo wa kutaja majina kila siku kitu ambacho kingeweza hata kutajwa na katibu mwenezi wenu au unahisi ukitaja majina ndio unajiongezea umaharufu?? kimsingi watanzania wanataka mengi zaidi ya kuwatajia majina ambayo kimsingi huna nguvu yoyote ya kuwashughulikia! change strategy mzee
Balaa lingine limemwangukia katibu mkuu wa chama cha CHADEMA,baada ya kutuhumiwa na chama cha mapinduzi kuwa anatumika na mafisadi,hii inaweza chukuliwa kirahisi lakini ni swala nyeti ikizingatiwa Slaa amekuwa akijifanya kuwa mstari wa mbele kupambana na mafisadi,Slaa hana budi kukanusha hizi tuhuma au kutoa maelezo ya kujitosheleza kwasababu kukaa kimya inaweza kuleta tasfiri tofauti kwa wafuasi wake( silence means yes)
HABARI KAMILI
CHAMA Cha Mapinduzi kimesema Katibu Mkuu wa Chadema, Dk. Willibrod Slaa na chama chake, wanatumiwa na baadhi ya watuhumiwa wa ufisadi waliotakiwa kujiuzulu wenyewe ndani ya chama hicho.
Akihutubia umati wa watu katika viwanja vya Mwembe-Kisonge Zanzibar, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye amesema kwa sasa watuhumiwa hao wameamua kutumia baadhi ya vyama vya siasa, magazeti na asasi za dini kujibu mapigo.
Tumewapa miezi mitatu watuhumiwa wote wa ufisadi katika chama chetu wajiondoe wenyewe. Baadhi wanajaribu kupinga na kujibu mapigo kwa kutumia magazeti, vyama vya siasa na taasisi za dini...tunajua tutashinda na wao lazima waondoke, alisema Nnauye.
Alisema, Tumeandaa mkakati wa kusafisha chama kutoka ngazi za chini mpaka katika ngazi ya Taifa. Tumechunguza na tunajua wanaotakiwa kuondoka ndani ya chama chetu. Lakini baadhi ya watu wamejitokeza kutaja majina ya watuhumiwa ndani ya chama chetu, hiyo si kazi yao.
Pumba tupuuuuuuu!!!!!!!Balaa lingine limemwangukia katibu mkuu wa chama cha CHADEMA,baada ya kutuhumiwa na chama cha mapinduzi kuwa anatumika na mafisadi,hii inaweza chukuliwa kirahisi lakini ni swala nyeti ikizingatiwa Slaa amekuwa akijifanya kuwa mstari wa mbele kupambana na mafisadi,Slaa hana budi kukanusha hizi tuhuma au kutoa maelezo ya kujitosheleza kwasababu kukaa kimya inaweza kuleta tasfiri tofauti kwa wafuasi wake( silence means yes)