Balaa la mvua

Teh teh teh teh teh teh teh teeeeeeeh, ni shidaaaaaaaaaaah
 
Photoshop hiyo
Level ya maji kwenye kiti cha abiria na jamaa alipo kaa hayajamgusa
 
mmmmmmmmm! utani huo!
Inaweza isiwe ya hapa bali naomba wanajf wengine wenye picha za kinachoendelea sasa hapa nchini waziweke hapa. Hii ni jana hapo DSM kwa hisani ya gazeti la Mwananchi. mafuriko Mfanyabiashara ndogondogo katika eneo la Tabata Relini jirani na ofisi za Mwananchi Communications Limited akiwa amekaa juu ya ukingo wa daraja baada ya eneo hilo kufurika maji kutokana na mvua iliyonyesha jana, Dar es Salaam. Picha na Edwin Mjwahuzi
Source

 
watasema photoshop
Inaweza isiwe ya hapa bali naomba wanajf wengine wenye picha za kinachoendelea sasa hapa nchini waziweke hapa. Hii ni jana hapo DSM kwa hisani ya gazeti la Mwananchi.mafuriko eneo la Tabata Relini jirani na ofisi za Mwananchi

 
huyo jamaa kaweka poz kabisa!!! au ni mwandish?
Mfanyabiashara ndogondogo katika eneo la Tabata Relini jirani na ofisi za Mwananchi Communications Limited akiwa amekaa juu ya ukingo wa daraja baada ya eneo hilo kufurika maji kutokana na mvua iliyonyesha jana, Dar es Salaam. Picha na Edwin Mjwahuzi
Source
 
.....kudadadaaadekiiiii.....!!!!???
 
daaaH!!! Aiseee tatizo tumezoe PHOTOSHOP (pichaduka lol kidhungu bwana)
kumbe hii ni REALPHOTO
 

Poor drainage system! Dar es salaam ni kati ya miji ya hovyo kabisa duniani kwa mipango miji.Hii adha ya maji kutuama mara tu mvua kidogo inaponyesha haitaweza kuisha kwa mpangilio wa jiji hili ulivyo! Baada ya kuisha mradi wa mabasi yaendayo kasi, inabidi waanzishe na mradi wa boti ziendazo kasi kipindi cha mvua ili watu waweze kutoka na kuingia kwenye miji yao!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…