Photoshop hiyo
Level ya maji kwenye kiti cha abiria na jamaa alipo kaa hayajamgusa
Inaweza isiwe ya hapa bali naomba wanajf wengine wenye picha za kinachoendelea sasa hapa nchini waziweke hapa. Hii ni jana hapo DSM kwa hisani ya gazeti la Mwananchi.mmmmmmmmm! utani huo!
huyo jamaa kaweka poz kabisa!!! au ni mwandish?Inaweza isiwe ya hapa bali naomba wanajf wengine wenye picha za kinachoendelea sasa hapa nchini waziweke hapa. Hii ni jana hapo DSM kwa hisani ya gazeti la Mwananchi.View attachment 150089mafuriko eneo la Tabata Relini jirani na ofisi za Mwananchi
Inaweza isiwe ya hapa bali naomba wanajf wengine wenye picha za kinachoendelea sasa hapa nchini waziweke hapa. Hii ni jana hapo DSM kwa hisani ya gazeti la Mwananchi.mafuriko eneo la Tabata Relini jirani na ofisi za Mwananchi
Mfanyabiashara ndogondogo katika eneo la Tabata Relini jirani na ofisi za Mwananchi Communications Limited akiwa amekaa juu ya ukingo wa daraja baada ya eneo hilo kufurika maji kutokana na mvua iliyonyesha jana, Dar es Salaam. Picha na Edwin Mjwahuzihuyo jamaa kaweka poz kabisa!!! au ni mwandish?
unamakengeza nn ??
vua hiyo miwani mieusi ni ya jua MKUU sio yakusomea
Inaweza isiwe ya hapa bali naomba wanajf wengine wenye picha za kinachoendelea sasa hapa nchini waziweke hapa. Hii ni jana hapo DSM kwa hisani ya gazeti la Mwananchi.View attachment 150089mafuriko Mfanyabiashara ndogondogo katika eneo la Tabata Relini jirani na ofisi za Mwananchi Communications Limited akiwa amekaa juu ya ukingo wa daraja baada ya eneo hilo kufurika maji kutokana na mvua iliyonyesha jana, Dar es Salaam. Picha na Edwin Mjwahuzi
Source