Moja ya sehemu nazoziogopa ni hapo na kule Mlima Nyoka.Huwa navizia mida ya kupita kule.
Ni basi tu hatusemi sana kuna mambo yanazuilika vizuri sana.
Nasema ni basi tu hatuingilii mambo ya watu.Hizo mimi huwa nikiwa hapo nahisi kabisa Israel huyu hapa.
Hakuna namna serikali itoe tu kibunda Cha maana barabara ya maana itengenezwe pale,yani hata ukiona gari imefeli inakufwata pale hakuna utakapokimbilia