UmkhontoweSizwe
Platinum Member
- Dec 19, 2008
- 10,047
- 9,346
Hivi Kikwete yeye atafikishwa lini mahakamani kwa ufisadi wake?
Fafanua kuhusu huyu tajiri mkuuHao watu wana mali nyingi za wizi,mkulo ni fisadi mali zake nyingi amezificha kwa mfanyabiashara al-sayeed wa morogoro,mkulo kwa kumtumia al-sayeed amenunua yutong nne ambazo zinafanya kazi morogoro,pia anashirikiana na tajiri wa kilosa(babylon) kuingiza pesa chafu katika majengo,majengo mengi ya kilosa mapya mapya ni ya mkulo.
Hawa watu wachunguzwe kwa makini wana mali nyingi sana wametuibia kama serikali kupitia DPP wakipotezea nguvu ya umma itawashinda tu,aluta continua