Bakwata waunga mkono katiba ya wananchi

Bakwata waunga mkono katiba ya wananchi

unaposema BAKWATA unazungumzia tawi la CCM, sasa tawi la CCM litaipingaje CCM?
 
Hivi ccm si inakatiba yao? Wanataka kutunga nyingine waliyo nayo haiwatoshi? Ndo maana bado tuko masikini hata viongozi hawajui chanzo ni nini
 
Back
Top Bottom