Sio vyema kutangaza udhaifu wako hadhari kwan utadharaulika! Tumia busara ya kushauri ukiwa ndan sio kulalamika na kutangaza madhaifu yenu kwani hakuna aliyemkamilifu dunian hata wew ungekabidhiwa amana za waislamu ungeiba tu! Cha msingi muombe allah awape fikra nzuri za kuendeleza iman yao kuliko wafanyavyo sasa maana wanafanya mazuri ila wew huyaoni bali unaona mabaya tu! Tafuta mazuri yao utaacha kuhuzunika bali utakuwa na furaha na aman!Bakwata Taasisi kuu ya kufisidi mali na maendeleo ya waislam imefanya ufisadi mwengine mkubwa kwa kuuza kwa ufisadi kiwanja kilichopo kona ya bibi titi na morogoro.
Kiwanja hicho ameuziwa mgeni msomali wa Ramada kujenga Mall bila ya fedha hizo kuwanufaisha waislam na taasisi zao. Wizi huu wa mali za waislam unafanywa huku serikali ikizuia muislam yoyote kuihoji taasisi hii juu ya ubsdhirifu.
Itakumbukwa Sheikh Ponda yupo ndani chanzo kikiwa kujaribu kuzuia wezi hawa wa Bakwata kupora na kuuza viwanja vya waislam Temeke.Mpaka leo yupo ndani hii ikimaanisha serikali ina mkono wake kuona taasisi hii inakuwa na watu wasio kuwa waadilifu.
Kulikuwa na kamati iliyojiita ya kutetea mali za waislam iliokuwa ikio ngizwa na Mattaka mara hii hawakupiga kelele kwani nao wamewedkwa sawa na mgao.
Sasa hivi Bakwata wameuza mali zote karibu walizo rithi kutoka EAMWS kwa kupewa ili wazitumie kwa ajili ya umma wa kiislam lakini wameuza zote na kutumia fedha hizo wao wenyewe.
Kuna majumba maeneo yote ya jiji yalio tolewa na waislam na yote wame uza .
Taasisi hii ina watu wa ajab kabisa wengi hawana hata elimu ya kiislam wala desturi na hulka za kiislam.
Kiwanja hichi wameuza kwa msomali huyo ambaye anajenga Mall na ameanza kuuza maduka yaliomo humo kwa faida yake.
Hili dubwana bakwata ni tatizo kubwa juu ya mali zite hizi shule zao zipo taabani ki elimi na zina zidi kuporomoka na shehe simba apiga pilau wala habari hio haimkeri inamhusu nini ?
Kuna fans wa Bakwata kina Abou Iddi nao kimyaa ukiwauliza wanakukejeli .
Waislam kunaf haja kubwa ya kulikamata Bakwata na kuweka watu waadilifu watakao leta maendeleo kwa waislam japo
tumechelewa kwani hawa jamaa wameuza kila kitu.
Sio vyema kutangaza udhaifu wako hadhari kwan utadharaulika! Tumia busara ya kushauri ukiwa ndan sio kulalamika na kutangaza madhaifu yenu kwani hakuna aliyemkamilifu dunian hata wew ungekabidhiwa amana za waislamu ungeiba tu! Cha msingi muombe allah awape fikra nzuri za kuendeleza iman yao kuliko wafanyavyo sasa maana wanafanya mazuri ila wew huyaoni bali unaona mabaya tu! Tafuta mazuri yao utaacha kuhuzunika bali utakuwa na furaha na aman!

Wewe mleta mada nawe umekuwa mtu wa ajabu kweli;umeacha jambo LA msingi uliloleta jamvini umeanza kushabikia udini
nadhan una uwezo mdogo sn wa kufikiri, kwa taarifa yako hayo makundi yanayopigana yote ambayo yanasemwa ni ya kigaidi kuwa ni ya waislam, co kweli kwa sababu yanapingana sana na mafundisho ya kiislam,
mfano
hakuna kipengele kinachosema et elimu fulan pekee ndo nzuri,(boko haram), elim ya magharib ni haram,
au
kuua mtu asiyekua na hatia, hivyo n vitu ambavyo uislam unapingana navyo,
fungua kichwa uone propaganda zinazoenezwa ili kuuhusisha uislam na ugaid,
maku weee
Bakwata Taasisi kuu ya kufisidi mali na maendeleo ya waislam imefanya ufisadi mwengine mkubwa kwa kuuza kwa ufisadi kiwanja kilichopo kona ya Bibi Titi na Morogoro.
Kiwanja hicho ameuziwa mgeni msomali wa Ramada kujenga Mall bila ya fedha hizo kuwanufaisha waislam na taasisi zao. Wizi huu wa mali za waislam unafanywa huku serikali ikizuia muislam yoyote kuihoji taasisi hii juu ya ubadhirifu.
Itakumbukwa Sheikh Ponda yupo ndani chanzo kikiwa kujaribu kuzuia wezi hawa wa BAKWATA kupora na kuuza viwanja vya waislam Temeke. Mpaka leo yupo ndani hii ikimaanisha serikali ina mkono wake kuona taasisi hii inakuwa na watu wasio kuwa waadilifu.
Kulikuwa na kamati iliyojiita ya kutetea mali za waislam iliokuwa ikio ngizwa na Mattaka mara hii hawakupiga kelele kwani nao wamewekwa sawa na mgao.
Sasa hivi BAKWATA wameuza mali zote karibu walizo rithi kutoka EAMWS kwa kupewa ili wazitumie kwa ajili ya umma wa kiislam lakini wameuza zote na kutumia fedha hizo wao wenyewe.
Kuna majumba maeneo yote ya jiji yalio tolewa na waislam na yote wameuza. Taasisi hii ina watu wa ajabu kabisa wengi hawana hata elimu ya kiislam wala desturi na hulka za kiislam.
Kiwanja hichi wameuza kwa Msomali huyo ambaye anajenga Mall na ameanza kuuza maduka yaliomo humo kwa faida yake.
Hili dubwana BAKWATA ni tatizo kubwa juu ya mali zite hizi shule zao zipo taabani ki elimu na zinazidi kuporomoka na Shehe Simba apiga pilau wala habari hiyo haimkeri, inamhusu nini? Kuna fans wa BAKWATA kina Abou Iddi nao kimyaa ukiwauliza wanakukejeli.
Waislam kuna haja kubwa ya kulikamata BAKWATA na kuweka watu waadilifu watakaoleta maendeleo kwa waislam japo tumechelewa kwani hawa jamaa wameuza kila kitu.

BAKWATA is an AGENT of DEVIL:flame::flame:
Hata wewe ni agent wa devil kwanini uandike kiingereza wakati Allah anajua kiarabu TU.