BAKWATA ni taasisi ya Serikali?

BAKWATA ni taasisi ya Serikali?

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Posts
49,320
Reaction score
117,615
Si hii nchi haina dini kabisa?

Na vyombo vya dini vinatakiwa kuwa huru kabisa?

Sasa Rais anakwenda kwenye baraza la Iddi anatoa briefcase yenye pesa taslimu...why? kuna nini?

Sasa mkuu wa mkoa anakuja na mradi wa kujenga makao makuu ya BAKWATA.Mradi wa bilioni 5.....

Je, haya yote yanafanyika kwa mapenzi mema au kuna kitu?

Hiko kitu ni nini hasa?

Serikali inajaribu ku achieve nini kwa 'kuisaidia huku' BAKWATA?

Uhuru wa BAKWATA kuikosoa na kuikemea serikali kama zilivyo taasisi zingine za dini ndo 'umeshakwenda'?

Nani muathirika wa haya yoote?
 
Si hii nchi haina dini kabisa?

na vyombo vya dini vinatakiwa kuwa huru kabisa?

Sasa Rais anakwenda kwenye baraza la Iddi anatoa briefcase yenye pesa taslimu...
why? kuna nini?

Sasa mkuu wa mkoa anakuja na mradi wa kujenga makaou makuu ya BAKWATA

mradi wa bilioni 5.....

Je haya yote yanafanyika kwa mapenzi mema au kuna kitu?

Hiko kitu ni nini hasa?

Serikali inajaribu ku achieve nini kwa 'kuisaidia huku' BAKWATA?

Uhuru wa BAKWATA kuikosoa na kuikemea serikali kama zilivyo taasisi zingine za dini
ndo 'umeshakwenda'?

Nani muathirika wa haya yoote?
Nimeiona hii habari nimeshangaa!
Let's hope hizo bilioni tano ni zake makonda personally. Isije ikawa ni hela za jiji!
 
Si hii nchi haina dini kabisa?

na vyombo vya dini vinatakiwa kuwa huru kabisa?

Sasa Rais anakwenda kwenye baraza la Iddi anatoa briefcase yenye pesa taslimu...
why? kuna nini?

Sasa mkuu wa mkoa anakuja na mradi wa kujenga makaou makuu ya BAKWATA

mradi wa bilioni 5.....

Je haya yote yanafanyika kwa mapenzi mema au kuna kitu?

Hiko kitu ni nini hasa?

Serikali inajaribu ku achieve nini kwa 'kuisaidia huku' BAKWATA?

Uhuru wa BAKWATA kuikosoa na kuikemea serikali kama zilivyo taasisi zingine za dini
ndo 'umeshakwenda'?

Nani muathirika wa haya yoote?
Si mlikuwa mnalilia Mahakama ya Kadhi ianzishwe na Serikali, tofauti iko wapi Serikali ikijenga Ofisi ya BAKWATA?
 
Mkuu ni kutaka kubance mambo.... Sisi wengine tuliona dalili tangu muheshimiwa alipoomba kura akiwa Mikumi.. Wazee wa MOU wataelewa vizuri
 
Uhuru wa BAKWATA kuikosoa na kuikemea serikali kama zilivyo taasisi zingine za dini
ndo 'umeshakwenda'?
Hao Bakwata walishatekwa siku nyingi.
Ni lini ulishawahi kusikia wakiikemea serikali zaidi ya kuwasifu na kuwaombea dua?
Kumbuka yule mbunge aliyesema bakwata ni tawi la CCM,hakukosea, ndio maana wenzako wanapewa' viburungutu' vya hela.
 
Ngoja nimuite Shekh Ponda aje atujibie hizi hoja za msingi.

''Niponde Nisipondeee? maalim Pondaaa'' - Nash Emcee

-Kaveli-
 
Hapa duniani hakuna kitu cha muhimu kama Muda -Time

Muda ndio unatoa majibu ya kila kitu na muda ndio una solve matatizo.

Leo hii muda umetujibu yale Mambo ambayo waislam wengi akiwemo Mzee wangu Mohammed Said kuhusu uhusiano, hila na dhana nzima ya Serikali ya CCM kuua EAMWS na kuanzisha BAKWATA.

Hii ni similar doctrine wanayotumia US kui control Saudi Arabia.

Je waIslam hawana huwezo wa kujenga hiyo office ya 5bil?

Je Serikali ilishamaliza kuwajengea hao BAKWATA, Pia itaenda kuwajengea KKKT, Pentecostal Churches, RC, Wasabato... etc.

Asante sana Mzee wangu Mohammed Said. With time... kila kitu Kitapata jibu.
 
Back
Top Bottom