Bakwata na ccm kuigawa tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bakwata na ccm kuigawa tanzania

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by andrews, Jun 3, 2012.

 1. a

  andrews JF-Expert Member

  #1
  Jun 3, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  CCM IMEJIANDAA KWA KILA NAMNA KUWATENGANISHA WATANZANIA MFANO MWINGINE NI HUU WA KUWAHADAA WAISLAMU KUHUSU MITIHANI KUWA WANACHUJWA SABABU YA DINI YAO,MBONA RAIS NI WAO CCM MSHINDWE,MLEGEE NA MFE KABISA KWA KULETA UDINI TANZANIA,MLIPANDIKIZA UKABILA CHADEMA MKAKIRUTUBISHA,MKALETA UDINI CUF MKASHINDWA MKAUPELEKA CHADEMA MKASHINDWA,MKALETA UKANDA MKASHINDWA SASA MNAITUMIA BAKWATA POLENI SANA:israel:
   
 2. k

  kajunju JF-Expert Member

  #2
  Jun 3, 2012
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 986
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 45
  Mfa maji haishi kutapatapa. CCM wanajaribu kila uchfu waliokuwa wanaufanya miaka ya nyuma. Nafikiria hiv karibun watakuja na suala la CDM wanachuna ngozi. Kwa waislam wenzangu, wengi wa mashehe, maalims wana elimu ahera na sio dunia. Ni wepesi kuamasisha mambo yasiyo na kichwa wala miguu. Angalia swala la Zanzbar, ni hawa viongoz wa kiislam. Hivi kuna mchungaj/padri anaweza hubiri wahumin wachome miskiti? Twende shule jama
   
Loading...