BAKWATA: Mchungaji Mwingira na Waziri Nyalandu waombe radhi

assadsyria3

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
6,904
4,050
Bakwata wamemtaka waziri Nyalandu kuomba radhi kwani alishindwa kumkemea mchungaji Mwingira ambae ktk mkesha wa mwaka mpya alitoa lugha ya uchochezi dhidi yawaislamu. Yeye km mgeni rasm hakukemea hivobaraza limemtaka aombe radhi kabla hswajachukua hatua zaidi.
chanzo startv magazeti
 
weka basi na wewe hiyo lugha ya uchochezi aliyosema huyo mzinzi mgoni mwenye kesi lukuki za kuzalisha wake za watu laanatullah Mwingira.Yaani Bakwata kazi wanayoweza ni media tuu na kutumiwa na ccm,maendeleo ya jamii ya kiislam patupu
 
Msomee albadili...
 
Akisha omba radhi Nyalandu wasimasahau yule kiongozi alie tundika mguu juu nyuma ya mufti siku ya maulid kule Muheza mpaka ktk tv tukaona ushenzi wake..
Nivyema kabla hatujakemea wasio kuwa waislam tuanze kufundishana adabu sisi waislam wenyewe..nijambo la utovu wa adabu mtu kutundikika mguu juu nyuma ya kichwa cha mufti na mbele ya vyombo vya habari vikiwemo tv.....
Hawa bakwata hivi hili hawakuliona kama ni utovu wa adabu mbele ya mufti mbele ya waislam na mbele ya watanzania?
 
Hawa BAKWATA inabidi waende kwa msajili wakapate usajili wa kudumu kiwe chama cha siasa, kila siku matamko kama ACT vile.
hahahahaaaaa ama kweli nyani haoni KUNDULE. hivi matamko ya bakwata unaweza kulinganisha na matamko ya baraza la maaskofu kwa idadi??
hivi unaona jinsi kanisa(madhehebu yooote ) yanavyogeuzwa kuwa ni dambwe la kusafisha uchafu na mwishowe yenyewe kuchafuka kama kinyesi?? kila aotaye uraisi anakimbilia kanisani hata kama ndoto yake ameoteshwa na LUCIFER....
KWENYE UKWELI MARA ZOTE UONGO HUTOKOMEA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom