R.B
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 6,296
- 2,575
Ijumaa iliyopita baadhi ya msikiti Temeke , imeitupia lawama baraza kuu la waislamu (BAKWATA) kwa kutoomba kibali cha kuingiza sukari kama ilivyozoeleka miaka yote. Na baadhi ya wakutubi wameenda mbali kuwa bakwata inamchonganisha JPM na wauumini wa kiislamu.
Mwezi mtukufu umeingia na futuru kubwa ni Uji na uji kiungo chake kikubwa ni sukari. Kukosekana kwa sukari kutaathiri sana funga.
Ushauri Bakwata bado wana muda wa kuomba kibali cha kuagiza sukari ili kupunguza makali ya swaumu mfungo wa Ramadhani.
Ntafurahi iwapo Raisi atawatakaia waislaam funga njema ya mwezi wa Ramadhani. Naona watu washaaanza kufunga lakini bado Bado JPM hajatoa salam ya kuwatakia funga njema wapiga kura wake.