Habari zenu Wana JF.
BAKWATA NI YA NANI- SEHEMU YA KWANZA
Leo tujikite kwenye swala hili ambalo kimsingi ndio chimbuko la mgawanyiko wa maslahi ya watu fulani fulani.Nimekuwa nikipitia pitia vyanzo vingi ili kujua NI NANI WALIOANZISHA BAKWATA ambayo mpaka muda huu imekuwa ikilalamikiwa na WAISLAMU wengi kuwa ipo chini ya SERIKALI na inafata MASHARTI YA SERIKALI.
Katika Mahubiri ya SHEIKH ilunga kati ya moja ya dvd zake ameeleza bila woga kabisa kuwa BAKWATA iliundwa 1968 mjini IRINGA,kwenye UKUMBI WA SAPUNA CINEMA IRINGA na USALAMA WA TAIFA waliopata mafunzo MOSADI israeli.
Mwaka huo MWL.JULIUS NYERERE ndie alie agiza kuvunjwa kwa EAST AFRICAN MUSLIMS WELFARE na kuwakusanya USALAMA WA TAIFA na kuwapeleka IRINGA kuunda BAKWATA wakiongozwa na SHUSHU RASHIDI KAYUGWA pamoja na wenzake.Kwa maana hiyo BAKWATA haikuundwa na WAISLAMU wenyewe bali Iliundwa na USALAMA WA TAIFA WAISLAMU.
Hao ndio walokuwa waislamu kwanza kipindi cha nyerere ambao aliwateua na kuwapeleka ISRAELI kusomea ushushu na ndio waliouunda BAKWATA.
....BAKWATA NI YA NANI.........???????
Kimsingi hapa ndio chimbuko la matatizo yote ya BAKWATA NA WAISLAMU.
ANGALIZO;mods sitapenda lughs za kejeli,matusi na kukoseana heshima katika kujadiri hili na niombe atakae kiuka adhibitiwe mara moja,kila mchangiaji ajenge hoja nini ajuacho kuhusu BAKWATA na si vinginevyo.