Baki

Baki

Tusipokuwa makini, population yetu itakuwa checked in uncivilized way. Ballot is stronger than bullet!
 
Mh lakin mbna Wanasema baki na msimamo huohuo sio abaki ikulu baada ya miaka mitano na naona haina shida wakisema baki koz bado Ana nafasi term ijayo ingekua term ijayo watu wanasema baki aaaah hapo hata mm mingeinuka katika kiti APA na mm ningegeuka tofali tujenge ukuta maana hali itakua sio hali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahahahaaaa magu unataka kuwa Kama viongoz wengine Wa maziwa makuu akina nkirunzinza kagame na Kabila pamoja na Swahiba wake museven

Sent using Jamii Forums mobile app
Naona hujamtaja rais wa nchi yangu,Kenya,hapo sawa! Mungu azidi kumbariki rais wetu,Uhuru Muigai wa Kenyatta,yeye ni kiongozi wa kweli. Uhuru tano tena!
 
Back
Top Bottom