Bakhressa mmoja wa matrilionea wakubwa africa.

Kwa mujibu wa jarida maarufu duniani,Said Salim Bakhressa ni miongoni mwa matajiri wakubwa Africa ambao utajiri wao unaongezeka kwa kasi. Kwa mujibu Forbes Magazine Kampuni yakeya Bakhressa Group inatengeneza mauzo yanayohfikia dola za marekani milioni 800 sawa na shilingi za Tanzania trilioni 1.2.

http://quicknek.blogspot.com/b/post...oDcqqZUQ&postId=5419088619792790361&type=POST


Noeli tuambie wewe utakua trillionea lini tusibaki kumsifia Bakhressa tuu mpaka mwisho wa maisha yetu
 
Back
Top Bottom