Lancashire
JF-Expert Member
- Sep 20, 2014
- 14,082
- 10,455
Watu kama nyie ni wakunyongwa tu hamna namna.kwa waislamu.
Watu kama nyie ni wakunyongwa tu hamna namna.kwa waislamu.
Kwa hiyo akina Raymond Nyamihura, Ivona kamutu, Tido Mhando, Charles Hilary etc wamebadili dini ili kuajiliwa na azam?
Watu kama nyie ni wakunyongwa tu hamna namna.
si ndio kazi zenu...wasilamu.
Ila MO hivo vijitu ana import kutoka China.
Na bado utanyooka tu.dawa ya watu wenye roho mbaya na chuki kama wewe ni mafanikio tu hakuna namna.yakikushinda kanywe sumu watu wanazidi kutengeneza dollars kwa kwenda mbele.
wakati matajiri wengine kama lowasa wanang'ang'ania siasa,,,,huyu mzee anazidi kuchanja mbuga...
naona MO nae kastuka na kujitoa katika siasa,na sasa anakuja juu,kuna hadi tambi,jojo,sabuni n.k za MO....
SIO lazima uwe mbunge ama waziri ndo mambo yako yakae sawa..
kwa waislamu.
Zimbabwe kuna waislamu wangapi? ina maana atachukua wafanyakazi Tz? kwanini asiende kununua Sudan kwenye waislamu wenzake?
watu wa aina yako ingewekwa sheria kuwachapa viboko hadharani ,
Kwa kunyonga na kuchinja watu...maana mafanikio unayoyazungmzia ni yale ya kupewa mssada wa siraha kutoka magaidi washirika.
Ila don't you think we need more multinational companies?
SSB's businesses are private remember.
I wish we had govt owned multinationals!
wakati matajiri wengine kama lowasa wanang'ang'ania siasa,,,,huyu mzee anazidi kuchanja mbuga...
naona MO nae kastuka na kujitoa katika siasa,na sasa anakuja juu,kuna hadi tambi,jojo,sabuni n.k za MO....
SIO lazima uwe mbunge ama waziri ndo mambo yako yakae sawa..
Na mimi mwanzoni nilidhani hivyo,lakini ukweli ni kwamba kama sifa unazo
ajira ipo.Ni dhana tu miongoni mwa watu,hasa wapambe.
Kuna wahindi wakristo ndani ya kampuni
kuna wakenya wakristo pia mpaka wazungu wakristo
kalagha bao.
WaTz wakristo mbona hujasema?? Na hakuna mtanzania mwenye nafasi ya juu kwa Bakhresa wote ni makarani. Ukipeleka Cv badilisha Jina
Ila don't you think we need more multinational companies?
SSB's businesses are private remember.
I wish we had govt owned multinationals!
Ndio maana raia wa nchi nyingine wanatuita backward people yaani tulio nyuma kwa kila kitu,wewe ni mfano mmoja wapo wa watu waliopitwa na mengi sana hapa duniani.Unashangaa Lowassa kugombea urais?mbona Kenya sasa hivi inaongozwa na rais tajiri na anafanya vizuri sana.Marekani kuna tajiri (estate mogul) aitwaye Donald Trump anagombea urais na ndiye anayeongoza ktk kura za maoni kwa upande wa Republican mpaka sasa.
Waabudu sanamu bhana !si ndio kazi zenu...wasilamu.