Bakhresa tuonelee huruma wapemba


ishu mi nadhan ni mawimbi ya nungwi, hivyo zile boti zingine n ndogo hazitahimili mikiki ya pale so sealink ndo chombo muafaka, pia liko moja so kuna siku halitakuepo ili lipelekwe service.
 
ishu ujumbe ufike kwa bakhresa km jamaa anavotaka ww km una njia yyt ya kufanikisha kwa idea au kulipeleka mwnyw mamlaka husika fanya hvyo na sio majungu
 
Watu wengine bana sijui mpoje? Eti asimlalamikie bakhresa? Hv huna aibu kuporojoka kama huna jibu bora, hv kwani kuna boat yoyote ya gvt mpaka asimlalamikie mzee wa SSB? ATCL mmemuachia mchaga ndio mtaweza meli o boat? Kumweleza SSB ilikuwa sahihi kwani hata hivo serkal hii isingeweza kuwafanyia mnavotaka, endeleen tu kuwapigia kura na shida wawatekelezee wengine, nadhan SSB atakuwa amelipata na inshaallah huenda akalifanyia kazi
 
SUMATRA mliikataa, Haya ndo madhara yake
 
hahahaha@bwana kikulachochako.kweli anacho ogea turufudume....km upo krb na said salim bakharesa fikisha kilio chao.
 
Muislam mwenzenu bkharesa,ngoja Mimi kafiri niwaleteee titanic
 
Kwa zile karafuu mnazouza SMZ anzisheni ushirika wa wakulima.baada ya miaka miwili kwa msaada wa PBZ mnaweza pata meli mpya kabisa kwa abiria na mizigo.Baada ya miaka mitano deni linakwisha..achaneni na mambo ya kutegemea watu.
 
ishu mi nadhan ni mawimbi ya nungwi, hivyo zile boti zingine n ndogo hazitahimili mikiki ya pale so sealink ndo chombo muafaka, pia liko moja so kuna siku halitakuepo ili lipelekwe service.

CCM iliwaapa ahadi ya kuwekeza Meli kubwa na order ilitolewa Meli ianze kutengenezwa, wammulize Idd Seif !
 
Tushakufahamu amijey yakhee! Kilio kimeshamfikia. Sasa mwili legeza subiria majibu yakhe!
 

Ndugu yangu Turufudume,mimi ni Mpemba mwenzako kindakindaki. Nikuulizee tuu kwanini tumlilie Bahresa?

Tuna wabunge wa Cuf majimbo yote21 ya Pemba Nzima iweje washindwe kununa boti na wao wameitawala Pemba robo karne sasa?

Kilio chetu hakiwezi kukimaliza bahresa mmoja wabunge wetu wakiamua wanaweza kuleta meli kama ya Zanlik na ikaweza kussaidia wapemba wote kama wataamua kuchangia kila mwezi laki5 tuu kwa miaka10 kila kila mbunge tukishirikiana na wananchi amba wanakatwa kwenye karafuu kila pichi 1 sh1000 tutafika pahali hatuzungumzii tena matatizo yoyote ya kisiwa cha Pemba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…