S shakamohd Member Joined Dec 28, 2011 Posts 49 Reaction score 6 Apr 30, 2012 #1 Baada ya kupasi mtihani Bakhili alimnunulia mwanawe toy car kama alivyomuahidi, mtoto akafurahi kisha akamuuliza baba yake ziko wapi batery zake? Bakhili: batery nitanunua ukipasi mtihani wa mwakani!!!
Baada ya kupasi mtihani Bakhili alimnunulia mwanawe toy car kama alivyomuahidi, mtoto akafurahi kisha akamuuliza baba yake ziko wapi batery zake? Bakhili: batery nitanunua ukipasi mtihani wa mwakani!!!
C Chassarsenal Member Joined Apr 14, 2012 Posts 91 Reaction score 3 Apr 30, 2012 #3 Safi sna, dogo anatakiw kukaza msuli ili apate battery.