Bakery yenye kujitosheleza kwa vifaa na ndani ya jengo Zuri pembeni ya main road inapangishwa au mwenye mahitaji anaweza kuinunua pia! Mwenye mahitaji ya kweli tuwasiliane kwa namba hii 0658453737. Karibu
Sinza sehemu gani na ni sh ngapi kwa mwezi ?mbona haya ndio maswali ya msingi mnaulizwa kila siku mnapotangaza biashara zenu na bado mnayaacha kuorodhesha?
Bakery yenye kujitosheleza kwa vifaa na ndani ya jengo Zuri pembeni ya main road inapangishwa au mwenye mahitaji anaweza kuinunua pia! Mwenye mahitaji ya kweli tuwasiliane kwa namba hii 0658453737. Karibu
Da biashara ya products za ngano ngumu sana maana siku hizi watu wengi hawana uwezo wa kula mikate!!!! Wanakula mihogo na kiporo cha wali kwa chai!!! Haya ndo maisha bora kwa kila mtanzania hata sukari ya chai hawezi nunua. M4C kazi kwenu.