fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 6,622
- 9,165
Mie sio kocha.Upewe wewe sasa
Umeongea kweliNimeangalia games zote tatu, naweza sema bora Egypt aliyepigwa goli 6 game 2 kuliko Twiga stars, tusipotengeneza falsafa ya mpira wetu tutaendelea kuteseka sana hizi timu za taifa. Yani game dk ya 1 mpaka ya 90 we unabutua tu, nimehuzunika sana ukizingatia Twiga stars ina wachezaji wazuri tu
Pale tff kuna katibu mkuu mwl oscar mirambo ni kocha mwenye leseni ya uero pro anajua wapi atapata kocha anayefaaKocha gani mbadala mwenye tactics za maana?
sio zengwe ni ukweli shime ndio kocha wa timu za wanawake na kocha wa timu za vijana,hawezi kufundisha timu zoteWazee wa zengwe kazin
Unajua yeye pia ni kocha wa timu ya taifa ya vijana,serengeti boys,abaki hukoIfikie wakati sasa awaachie akina Edna Lema! Kukaa na wadada miaka yote hii siyo jambo la kujivunia hata kidogo kwa mwanaume. I wish angerudi kwenye mpira wa wanaume wenzake ili aendeleze mapambano. Aache uoga na kupenda kitonga.
Bakari shime hang'oki hadi selemani matola atoke SimbaUmekuwa kocha wa timu za miguu za wanawake kwa miaka mingi sana.Umefanya mengi mazuri,lakini uwezo wako na ujuzi wako umefika upeo,inatosha.Jiuzulu aje mwingine ajaribu na yeye,huna jipya,angalia tulivyotolewa wafcon,timu ilikuwa inajichezea tu bila plan yoyote
Oh haya basi tutafungwa sanaBakari shime hang'oki hadi selemani matola atoke Simba