iparamasa
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 13,437
- 14,924
Bajeti ya wizara hii italitikisa binge kufuatia habari kwamba waziri wa mambo ya ndani anahusika na suala la Lugumi.
Bwana Kitwanga atakutana na hoja za moto kutoka kambi ya upinzani ambao lazima watahoji kwa nini wengine wanatumbuliwa,kulikoni yeye?
Tena wanatumbuliwa kwa vijimilioni tu vya mshahara hewa tusubiri mtikisiko mkubwa na game changer kwenye suala la Lugumi.