Bajeti ya India na Tanzania

Pastor Achachanda

JF-Expert Member
May 4, 2012
3,024
2,000
Hamjambo humu ndani? Naomba msaada wenu juu ya maelezo haya mafupi.
India ina watu milioni mia nane.
Tanzania ina watu milioni arobaini na tano.
Kwa nini bajeti ya India kila mwaka ni ndogo kuliko sisi Watanzania?Nini huzingatiwa katika kuandaa bajeti ya taifa?Maana nilitegemea kama watu wako wengi na bajeti inakuwa kubwa. Sasa kwa nini inakuwa kinyume jamani?Au Tanzania hatuna wataalam wa kuifiksisha bajeti ikatosha kiasi tusiwe na madeni? Hivi tungekuwa wengi kama India, si tungekuwa tunauza hadi nguo zetu za ndani kulipia bajeti ya taifa?Mimi si mtaalamu wa hesabu/uchumi, lakini hili jambo huwa linanistua sana.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom