Bajeti ya CAG kupungua kwa 50%

Nashengena

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
2,792
5,105
Bajeti ya ofisi ya mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali kwa mwaka 2016/17 kupungua kwa asilimia 50, hii itaathiri ufanisi wa ofisi hiyo pamoja na dhana nzima ya utumbuaji majipu kwani majipu mengi yamekuwa yakiibuliwa na ofisi hiyo.

Kwa mwaka huu ya fedha ofisi hiyo ilipangiwa kiasi cha shilingi bilioni 63.5, lakini kwa mwaka ujao wa fedha yaani 2016/17 ofisi hiyo imetengewa shilingi bilioni 32.3. Bajeti ya hazina itawasilishwa bungeni kesho na waziri wa fedha Bwana Philip Mpango kwa ajili ya kujadiliwa na hatimaye kupitishwa.

=======================

Dar es Salaam. The budge of the office of the Controller and Auditor General (CAG) is set to be slashed by half.

Finance minister Philip Mpango will tomorrow table the Treasury’s 2016/17 budget, which has allocated Sh32.3 billion for the National Audit Office of Tanzania (Naot). This is down from the Sh63.5 billion budget approved for the office for the current financial year.

A budget of Sh57.4 billion was approved for Naot for 2014/15, but the Treasury released only Sh35.3 billion to the agency. It remains to be seen how the decision to slash Naot’s budget for the next financial year will affect President John Magufuli’s crackdown on corruption and theft of public funds.

The agency has been a key player in efforts to curb corruption in recent years, with its annual and specialised audit reports revealing the loss of tens of billions of shillings in central and local governments and as well as in public parastatals.

This being the case, it was expected that President Magufuli’s government would have proposed a generous budget for Naot.

In 2012, the CAG’s annual report prompted President Jakaya Kikwete to sack six Cabinet ministers after their dockets were adversely mentioned in the document. Those dropped were Mr Mustafa Mkulo (Finance), Mr William Ngeleja (Energy and Minerals), Mr Ezekiel Maige (Natural Resources and Tourism), Dr Cyril Chami (Industry and Trade), Mr Omari Nundu (Transport) and Dr Hadji Mponda (Health).

In 2014, the CAG’s damning report on the Tegeta escrow account scandal was used by Parliament’s Public Accounts Committee to build a case against Attorney General Frederick Werema, Cabinet ministers Anna Tibaijuka (Lands, Housing and Human Settlements Development) and Sospeter Muhongo (Energy and Minerals) and Energy and Minerals Permanent Secretary Eliakim Maswi, who all lost their positions.

The CAG, Prof Mussa Assad, told The Citizen yesterday that the performance of his office would be adversely affected by any decision to reduce its budget.

“A lot of important work will be stalled. We won’t be able to perform all the required audits within and outside the country,” he said, adding that he did not rule out the possibility of some of his staff seeking employment elsewhere.

According to the Treasury’s budget proposals seen by The Citizen, allocation for the Ministerial Audit Division has been slashed from Sh8.4 billion to Sh4.4 billion, while the Local Government Authorities Audit Division’s budget is down to Sh6.5 billion from Sh17.5 billion.

The budget for the Administration and Human Resources Division has been reduced from the Sh20.2 billion approved for 2015/16 to Sh6.9 billion.

Allocation for the National Account Division has been cut from Sh7.4 billion to Sh3.1 billion, the Performance Audit Division is to be allocated Sh1.7 billion, down from Sh2.8 billion, while the Public Authorities Audit Division’s budget has been reduced from Sh1.6 billion to Sh1.5 billion.

Reacting to the development, Kigoma Urban MP Zitto Kabwe said the first casualty of the decision was the wider anti-corruption struggle and the independence of Naot, which is a constitutional entity.

“This will cripple the CAG’s office. Parliament’s Budget Committee wanted a total of Sh69 billion to be approved for Naot. With this meagre budget, the CAG will fail to conduct important audits and taxpayers will be in the dark as to how their money was spent,” he said.

The opposition politician said it was illogical for the government to increase its budget from Sh22 trillion to Sh29 trillion and at the same time slash allocation for the Naot, which is an important tool in monitoring public expenditure.

Last month, Prof Assad told journalists in Dodoma while unveiling the 2014/15 annual reports that Naot needed continuous budgetary support for it to operate efficiently.

Chanzo: The Citizen
 
Bajeti ya ofisi ya mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali kwa mwaka 2016/17 kupungua kwa asilimia 50, hii itaathiri ufanisi wa ofisi hiyo pamoja na dhana nzima ya utumbuaji majipu kwani majipu mengi yamekuwa yakiibuliwa na ofisi hiyo.

Kwa mwaka huu ya fedha ofisi hiyo ilipangiwa kiasi cha shilingi bilioni 63.5, lakini kwa mwaka ujao wa fedha yaani 2016/17 ofisi hiyo imetengewa shilingi bilioni 32.3. Bajeti ya hazina itawasilishwa bungeni kesho na waziri wa fedha Bwana Philip Mpango kwa ajili ya kujadiliwa na hatimaye kupitishwa.

Source: The Citizen
 
By Athuman Mtulya @mtulya amtulya@tz.nationmedia.com

Dar es Salaam. The budget of the office of the Controller and Auditor General (CAG) is set to be slashed by half.

Finance minister Philip Mpango will tomorrow table the Treasury’s 2016/17 budget, which has allocated Sh32.3 billion for the National Audit Office of Tanzania (Naot). This is down from the Sh63.5 billion budget approved for the office for the current financial year.

A budget of Sh57.4 billion was approved for Naot for 2014/15, but the Treasury released only Sh35.3 billion to the agency. It remains to be seen how the decision to slash Naot’s budget for the next financial year will affect President John Magufuli’s crackdown on corruption and theft of public funds.

The agency has been a key player in efforts to curb corruption in recent years, with its annual and specialised audit reports revealing the loss of tens of billions of shillings in central and local governments and as well as in public parastatals.

This being the case, it was expected that President Magufuli’s government would have proposed a generous budget for Naot.

In 2012, the CAG’s annual report prompted President Jakaya Kikwete to sack six Cabinet ministers after their dockets were adversely mentioned in the document. Those dropped were Mr Mustafa Mkulo (Finance), Mr William Ngeleja (Energy and Minerals), Mr Ezekiel Maige (Natural Resources and Tourism), Dr Cyril Chami (Industry and Trade), Mr Omari Nundu (Transport) and Dr Hadji Mponda (Health).

In 2014, the CAG’s damning report on the Tegeta escrow account scandal was used by Parliament’s Public Accounts Committee to build a case against Attorney General Frederick Werema, Cabinet ministers Anna Tibaijuka (Lands, Housing and Human Settlements Development) and Sospeter Muhongo (Energy and Minerals) and Energy and Minerals Permanent Secretary Eliakim Maswi, who all lost their positions.

The CAG, Prof Mussa Assad, told The Citizen yesterday that the performance of his office would be adversely affected by any decision to reduce its budget.

“A lot of important work will be stalled. We won’t be able to perform all the required audits within and outside the country,” he said, adding that he did not rule out the possibility of some of his staff seeking employment elsewhere.

According to the Treasury’s budget proposals seen by The Citizen, allocation for the Ministerial Audit Division has been slashed from Sh8.4 billion to Sh4.4 billion, while the Local Government Authorities Audit Division’s budget is down to Sh6.5 billion from Sh17.5 billion.

The budget for the Administration and Human Resources Division has been reduced from the Sh20.2 billion approved for 2015/16 to Sh6.9 billion.

Allocation for the National Account Division has been cut from Sh7.4 billion to Sh3.1 billion, the Performance Audit Division is to be allocated Sh1.7 billion, down from Sh2.8 billion, while the Public Authorities Audit Division’s budget has been reduced from Sh1.6 billion to Sh1.5 billion.

Reacting to the development, Kigoma Urban MP Zitto Kabwe said the first casualty of the decision was the wider anti-corruption struggle and the independence of Naot, which is a constitutional entity.

“This will cripple the CAG’s office. Parliament’s Budget Committee wanted a total of Sh69 billion to be approved for Naot. With this meagre budget, the CAG will fail to conduct important audits and taxpayers will be in the dark as to how their money was spent,” he said.

The opposition politician said it was illogical for the government to increase its budget from Sh22 trillion to Sh29 trillion and at the same time slash allocation for the Naot, which is an important tool in monitoring public expenditure.

Last month, Prof Assad told journalists in Dodoma while unveiling the 2014/15 annual reports that Naot needed continuous budgetary support for it to operate efficiently.
 
Nimejitoa kafara kupambana na mafisadi, halafu unakata bajeti ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali kwa 50%. Taasisi hii ndiyo imekuwa mstari wa mbele kuanika ufisadi mbali mbali uliofanywa nchini ikiwemo UDA, LUGUMI, PRIDE, Escrow, Boti la Bagamoyo, Ukwapuzi wa nyumba za Serikali n.k. kweli umejitoa kafara ya kupambana na mafisadi.
 
Hivi mkuu tuwe wakweli kabisa hii serikali inatupeleka wapi na nini mwisho wa hiyo safari haswaa?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
hahaha makamanda naona mmepanick sana na bajeti ya CAG hahaha. huu mchezo hauhitaji hasira.
 
Ukisoma vizuri hiyo gazeti linasema mwaka wa fedha 2014/15 waliomba Sh 57.4 billion lakini wakapewa Sh 35.3, na hicho kilikuwa kipindi cha JK ambapo watu walikuwa wanaishi airport. Sasa kama waliweza kufanya kazi mwaka mzima tena kwa kusafiri kila kukicha kwa Sh35.3 watashindwaje kufanya kazi kwa Sh32.3 wakati huu ambao safari nyingi zimepunguzwa?
 
Nadhani hii ni sababu mojawapo ya kuwafukuza Wabunge ambao ni mwiba kwa Serikali akina Lissu, Zitto, Lema, Bulaya, Mdee na wengineo ili hii bajeti ya hazina itakaposomwa hiyo kesho Serikali isipate wakati mgumu kwa kuamua kukata bajeti ya CAG kwa 50%. Unapambana vipi na ufisadi nchini wakati taasisi husika katika kuanika ufisadi mbali mbali nchini unaipunguzia bajeti yake kwa 50%?

Ripoti ya CAG tu hajaifanyia kazi
now anaipunguza bajeti

labda taarifa za MV Daresalaam zilimkera saana
 
Hiyo kazi ya kutumbua majipu imekuwa ya wakuu wa mikoa, mawaziri na kila mwenye mamlaka sio ya kitaalamu tena; sasa unategemea wataona kweli umuhimu wa kazi za CAG.

upload_2016-5-31_21-24-11.jpeg
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kwa maamuzi ya hivi karibuni ya hii Serikali, mimi sina imani nayo kabisa. Ninachokiona ni majanga tu.

Hivi mkuu tuwe wakweli kabisa hii serikali inatupeleka wapi na nini mwisho wa hiyo safari haswaa?
 
Kuna Watanzania wa ajabu kweli.

Hivi hoja ya msingi na muhimu ni kutengenewa pesa au kupewa pesa ulizotengewa?

Unaweza ukatengenewa hata trillion lakini kama hazina haitazitoa ni kupoteza muda tu.

Waulizeni hao NAot walitengewa kiasi gani mwaka wa pesa 2014/2015 na walipata kiasi gani kutoka hazina?

Tumeona hata kwenye Wizara zingine ambapo pesa nyingi zinatengwa lakini zinazopelekwa hata 20% ya pesa zilizotengwa hazipelekwi.

Kwa mfano Wizara ya Afya kwa mwaka 2014/15 zilitengwa Sh70.5 bilioni lakini ni Sh23.5 bilioni tu zilizotolewa na hazina.
 
Back
Top Bottom