Prince mimi
JF-Expert Member
- Jun 2, 2020
- 814
- 2,420
Mkuu namba DUnapata premio nzuri kabisaa
Mfano hii iliuzwa 8mView attachment 2256093
Kwa nn usiongeze kiasi ukaagiza kabisaHabari ndugu zangu! Kijana wenu ninahitaji gari kwa kumvua mtu.
Je kwa budget tajwa hapo juu ya 10M ninaweza kupata toyota Premio iliyo kwenye condition nzuri au Runx?
Mwenye uzoefu msaada wa mawazo tafadhali.
Habari ndugu zangu! Kijana wenu ninahitaji gari kwa kumvua mtu.
Je kwa budget tajwa hapo juu ya 10M ninaweza kupata toyota Premio iliyo kwenye condition nzuri au Runx?
Mwenye uzoefu msaada wa mawazo tafadhali.
Dah mkuu unashawishiMimi ninayo naitoa kwa mkopo unalipa 50%
Nauza 16,500,000Million
50% 8,250,000Million
Rejesho kila mwezi 792,000Tsh ndani ya mwaka mzma
Nakusajilia gari ni chassis number karibu sanaView attachment 2256291
View attachment 2256292
View attachment 2256293
View attachment 2256295
View attachment 2256296
Fuata huu ushauri.Ukiongeza m 3.5 kwenye hiyo m 10 unaagiza kabisa japan
Itakua aliuziwa Masai(no offense).Unapata premio nzuri kabisaa
Mfano hii iliuzwa 8mView attachment 2256093
Ukiongeza m 3.5 kwenye hiyo m 10 unaagiza premio kabisa japan
Hiyo iliyoonhezeka ndo faida yao, wanafanya biashara ati.Duh, kumbe inawezekana ila mbona naona hizi gari kwa hapa nyumbani zinauzwa 15M had 16M.
How comes kwa 13.5M itoshe kuagiza gari japan.?
Dah mkuu unashawishi
Wacheck sbt watakupa muongozoDuh, kumbe inawezekana ila mbona naona hizi gari kwa hapa nyumbani zinauzwa 15M had 16M.
How comes kwa 13.5M itoshe kuagiza gari japan.?
Uza kwa 15 Mkuu tufanye biashara kwa installmentMimi ninayo naitoa kwa mkopo unalipa 50%
Nauza 16,500,000Million
50% 8,250,000Million
Rejesho kila mwezi 792,000Tsh ndani ya mwaka mzma
Nakusajilia gari ni chassis number karibu sanaView attachment 2256291
View attachment 2256292
View attachment 2256293
View attachment 2256295
View attachment 2256296
Uza kwa 15 Mkuu tufanye biashara kwa installment
Hiyo 13.5m ni pamoja na ushuru??????Ukiongeza m 3.5 kwenye hiyo m 10 unaagiza premio kabisa japan
Wakati naandika ilikua hivyo,within 1 month na kitu zimepanda beiHiyo 13.5m ni pamoja na ushuru??????
Kwa sasa ni shingapi Mkuu????Wakati naandika ilikua hivyo,within 1 month na kitu zimepanda bei
Mln 16 hadi 17 unaagizaKwa sasa ni shingapi Mkuu????
Unaagiza ndiyo ila sasa ya mwaka gani?Mln 16 hadi 17 unaagiza