Jamani someni kwanza hiyo bajeti. ni ujinga kudanganya watu mishahara mipya tayari imeishatangazwa na waziri wa utumishi wa umma na kwa mwaka huu kila kitu kipo wazi. ispokuwa kinapanda kulingana na ngazi yako ya mshahara.
Acha kudanganya watu. nafikiri huna kazi ya kufanya, sijui hii mnatoa wapi yupo mwingine ameandika Mishahara Juu kwa watumisha wa serikali! lakini sio kweli kabisa.