Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,034
- 144,388
Umasikini unakwamisha mambo mengi na umasikini mbaya ni wa akiliWaongeze tu tukome.
Hii nchi bila maskini kufikia hatua ya kukamuliwa na kunyang'anywa kila kitu hakutakua na mapinduzi ya kweli ya kifikra.
Ili CCM iondoke madarakani ni lazima maskini tupitie mateso kupita kiasi ili tu'evolve na kufanya maamuzi sahihi kwa kuchagua watu sahihi.
Hapa kuna ukweli fulani.Waongeze tu tukome.
Hii nchi bila maskini kufikia hatua ya kukamuliwa na kunyang'anywa kila kitu hakutakua na mapinduzi ya kweli ya kifikra.
Ili CCM iondoke madarakani ni lazima maskini tupitie mateso kupita kiasi ili tu'evolve na kufanya maamuzi sahihi kwa kuchagua watu sahihi.
Mkuu,mbona tumeanza kukoma kwenye sukari?Huu utakuwa mwendelezo tu.Mwaka huu mtakoma .
Mzee Kingunge hakukosea aliposema hawa jamaa wameishiwa pumzi.Sijui uwezo wao wa kufikiri umefika mwisho?!Kenya wanaotumia bank ni zaidi ya milioni 20
sisi wanaotumia bank ni milioni 3 tu
tulipaswa kuvutia zaidi watu watumie bank kwa kupunguza kodi
badala yake tumeongeza kodi
kama ni hivyo,tuna kokwenda watumishi na wafanyabiashara ndio watatumia huduma za benki,the rest watazifukia chiniKenya wanaotumia bank ni zaidi ya milioni 20
sisi wanaotumia bank ni milioni 3 tu
tulipaswa kuvutia zaidi watu watumie bank kwa kupunguza kodi
badala yake tumeongeza kodi
Mzee alisema kweli....wameishiwa pumzi mpaka inabidi wazuie mpaka mikutano ya hadhara wajipange.....mchakamchaka huu sio mchezoMzee Kingunge hakukosea aliposema hawa jamaa wameishiwa pumzi.Sijui uwezo wao wa kufikiri umefika mwisho?!
hivi hii million 3 ya watz wanaotumia bank umepata wapi? 3 out of about 59 millions people? au 3 out 33 pc of Adults? i think your misleading. yaani at average ya kila bank kuwa na wateja 52000?Kenya wanaotumia bank ni zaidi ya milioni 20
sisi wanaotumia bank ni milioni 3 tu
tulipaswa kuvutia zaidi watu watumie bank kwa kupunguza kodi
badala yake tumeongeza kodi
Umeandika kisomi sana .Kenya wanaotumia bank ni zaidi ya milioni 20
sisi wanaotumia bank ni milioni 3 tu
tulipaswa kuvutia zaidi watu watumie bank kwa kupunguza kodi
badala yake tumeongeza kodi
HahahahaYaani watanzania wamekaza macho kuangalia ubaoni ili wasome namba...mpaka macho yameanza kuvimba wameona mpaka namba nne tu,,sasa mpaka zifike 360 macho yatakuwa yamefyatuka Mwenye soketi zake
Tena me washanikosa nitoa mzigo wang woteKenya wanaotumia bank ni zaidi ya milioni 20
sisi wanaotumia bank ni milioni 3 tu
tulipaswa kuvutia zaidi watu watumie bank kwa kupunguza kodi
badala yake tumeongeza kodi
hivi hii million 3 ya watz wanaotumia bank umepata wapi? 3 out of about 59 millions people? au 3 out 33 pc of Adults? i think your misleading. yaani at average ya kila bank kuwa na wateja 52000?