Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 57,011
- 94,623
Where do you put the demarcation, utajadilije taifa bila CCM? kwani ni nani aliye unda serikali hii isiyowajibika?Kama nikufuta vyama vyote ulikuwa na maana gani kuweka thread hapa kuhusu tawi la CCM New York naukakomalia wiki nzima?Nakwambia waelekeze watu wako wa CCM waache kukumbatia rushwa wajipange kukusanya kodi. Wacha kutuchosha na majibu yako ya nyodo ati hatujalazimshwa kujadili hoja zako za kilimbukeni. Eti hoja yako ni kufuta vyama! naanza kupata mashaka na uelewa wako wa mambo, kwani vyama ndio vinakusanya kodi? Narudia tena kwa msisitizo mawazo na ushauri wako wapelekee Nape na Mukama wengine unatuchosha bure.- Hukulazimishwa mkuu kujadili hoja, mimi najadili taifa naona unaijadili CCM, kwa nini usianziseh mada ya CCM na kodi, mimi yangu ni ya kufuta vyama vyote nchini!
Willie @ NYC, USA.
Yes ni kweli alisema hayo lakini unategemea huyo Dr. Slaa apeleke kodi kule TRA au ni wajibu wa TRA chini ya sheria zilizowekwa na uongozi uliopo kumwendea Dr. Slaa na kudai hiyo kodi. Mimi sielewi kuna uhusiano gani kati ya weak collection ya kodi na vyama vya upinzani at this point. Kama wale wanaotakiwa wai-collect hiyo kodi hawafanyi hivyo si wajibu wa serikali iliyopo kuchukua hatua? Kimsingi najiunga na wengi hapa kukubaliana na hoja kuwa kodi hazikusanywi inavyopasa lakini wewe unaelekea kutaka vyama vyote vichukue lawama - hiyo inatoa impression kwamba unaogopa kukilaumu CCM. Najua unasema huogopi mtu Willy na pengine ni kweli, lakini unavyong'ang'ania kuvilaumu vyama vingine vya siasa kwenye issue kama hii unatufanya hata wengine tunaokuona jasiri kuwa na wasiwasi.
Willie,
Ujue kuwa Rawlings aliweza kufanya aliyofanya kule Ghana kwa sababu alipindua nchi tena alikwenda hata against wakubwa wake jeshini ambao walikuwa pia wamenogewa na ulaji kama walivyokuwa politicians. The fact kwamba Rawlings aliweza tena mara mbili ilikuwa ni combination ya luck, na timing ya hali ya juu sana. Ili kufanya unalopendekeza la kufuta vyama vyote ni lazima atakayetoa mwongozo awe nje ya vyama vyote - in other words, jeshi tu ndiyo linaweza kufanya hivyo. Is that what you are suggesting? Na kama ni hivyo, tuambie straight basi.
@New York, mimi nilishakudharau tangu majuzi, kwahiyo ulikuwa unajadili kitu ambacho haukifahamu wala haujui hiyo bajeti ni % ngapi pesa za ndani na % ngapi ni msaada wa wafadhili wa nje.
Sikutegemea mtu wewe yule yule kuja tena hapa jamvini na thread kama hii. huu ni uchovu wa mawazo na ni madhara ya elimu za ujanja ujanja za kuunga unga, na ninaona afadhali mara 1000 ya ccm hawa waliopo madarakani kwa sasa waendelee kutunyonya kuliko watu wa aina yako mnaodhani Tanzania ndio nchi ya kuja kufanya majaribio ya uongozi ili mtuibie.
Where do you put the demarcation, utajadilije taifa bila CCM? kwani ni nani aliye unda serikali hii isiyowajibika?Kama nikufuta vyama vyote ulikuwa na maana gani kuweka thread hapa kuhusu tawi la CCM New York naukakomalia wiki nzima?Nakwambia waelekeze watu wako wa CCM waache kukumbatia rushwa wajipange kukusanya kodi. Wacha kutuchosha na majibu yako ya nyodo ati hatujalazimshwa kujadili hoja zako za kilimbukeni. Eti hoja yako ni kufuta vyama! naanza kupata mashaka na uelewa wako wa mambo, kwani vyama ndio vinakusanya kodi? Narudia tena kwa msisitizo mawazo na ushauri wako wapelekee Nape na Mukama wengine unatuchosha bure.
Bill,
Sijaelewa title ya thread yako.....tufute vyama tuanzae upya?....wanachama si walewale?
Hivi kuna chama kingine kina kusanya kodi ukiondoa hii serikali ya Magamba?
Ninasema hivi vyama vyote vimeshindwa kukusanya kodi, ni vyema tuokaondokana na vyote, tukaanza upya, wewe unasema nini achana na mimi siwezi kukusaidia anything!
Willie @ NYC, USA.
- Genius! tunajadili taifa hapa sio wewe wala mimi binafsi ndio unapokosea hapo unahangaika sana nakuona sana. ila unapoteza muda wako talking about kukudharau, sijui kama unaelewa vizuri on my side nilivyokushusha hadhi yaani ungejua, maana hata simu yako sitakuja kupokea tena jinsi nilivyokudharau kuna jamaa alionya mapema sana kuhusu mahusiano na wewe, finally nimejionea mwenyewe, karibu sana!
Willie @ NYC, USA.