William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,588
- 10,375
- Thread starter
- #121
Ahahahahahahahahhh!! mwee! Yaani mimi nikupigie simu kwa lipi? Wewe ni mtu ambae tunakutana hapa kwenye forum basi, na kama kuna watu huwa wanakupigia simu ni hao hao magamba wenzako.
For ur information sikutaka kuliweka hili wazi, lakini ningeomba nikueleze wazi, mimi nafanya kazi na watalii, tena watalii wawindaji, ambao wewe hata ukae Marekani milele hutoweza kukaa nao meza moja.
Na for more info, wageni wetu 70% wanakuja na private jet zao wenyewe tena Gulf stream, mimi nikiamuwa kuja kutembea USA nitakuwa ni mgeni wa most of American Rich Families, hii itakuwa ngumu kwangu kuja kuonana na wabeba box kama wewe, maana sitokuwa karibu na immigrant society.
By the way ningekuwa nahitaji ukaribu na wewe labda tungekuwa tayari ni marafiki kwenye facebook.
- Kama ni kweli, basi muulize bwana Hillary hapo Multichoice nani anayemtumia watu kama hao unaowasema kutoka huku? ha! ha! ha! Siku njema sana! usilolijua ni kama usiku wa giza sana1 ha! ha!
W @ NYC, USA.