Bajaji zenye tanki la maji safi nyuma

M-pesa

JF-Expert Member
Sep 4, 2011
602
151
Wanajamvi,
Naombeni kufahamishwa kuhusu hizi bajaji zenye tank la maji safi nyuma. Ni kwamba zinakuja kuuzwa kama zilivyo au ni modification inafanyika tu hapahapa bongo?

Asanteni
 
Hata mimi ningependa kujuzwa hii habari, maana naziona nyingi sana maeneo ya Sinza zikiwa zimebeba maji safi.
 
Wakuu hebu nijuzeni ,sipati picha kuhusu hizo bajaji.hilo tank la maji safi hao jamaa wameweka kuuza maji au inakuaje? how many liters it can contain.Na details nyingine kama zipo.
 
Back
Top Bottom