Bajaji inauzwa.
number ni BPT ina miezi nane toka ianze kazi iko Dar es salaam, TVS king iko safi kabisa hata guarantee inatolewa kwa mnunuzi serious, pei ni 3.8Million.
Bajaji inauzwa.
number ni BPT ina miezi nane toka ianze kazi iko Dar es salaam, TVS king iko safi kabisa hata guarantee inatolewa kwa mnunuzi serious, pei ni 3.8Million.
Imetumika sana kwa uendeshaji huu wa vijana wetu wa bongo fleva, hamna kitu hapo halafu bei ni mbaya. Kuna jamaa Mkongo anapatikana maeneo ya Kawe anauza bajaji zake TVS zipo 27 bei ni m3.2 na 4 stroke kuanzia m1.8

Sijamaanisha hivyo, nilimaanilisha ili aweze kupata soko ni lazima ashushe bei maana siku hizi watu wengi walioingilia hii biashara ya bajaj na bodaboda kwa pupa wanaziuza kwa hiyo ni nyingi sana mtaani zinazouzwa. Sorry kama nitakuwa nimeeleweka vibaya.
KAka ndio maana nimesema hata guarantee inatolewa maana chombo kinaaminika hakina shida yoyote TVS imesimama wanunuzi hawanaga maneno mengi wanaona kwanza kitu ndio wanasema oooh bei na mambo kama yaho.