Bajaji Mpya

amkawewe

JF-Expert Member
Dec 9, 2011
2,021
527
Nataka kununua bajaji kwa ajili ya biashara. Wapi nitapata bajaji nzuri na kwa bei poa. Wenye uzoefu bei inaenda ngapi?
 
ukitaka kunununua bajaj nunua za india Show room yao ipo barabara ya kwenda airport.kama ukiwa unatoka airport kuelekea QUALITY PLAZA ukipita mataa ya TAZARA mita kama kumi kushoto utaona nje kuna bajaj na pikipiki ndio hapo hapo. usinunue bajaj za zamani zenye taa moja hzo ni two stroke wanasema hzo hazina intercooler kwa hyo ukifanya kazi muda mrefu zinachemsha. nunua bajaj mpya zenye taa mbili zenyewe ni four stroke zina intercooler kwa hyo zinafanya kazi mrefu na hazichoki.
 
Ubarikiwe ndugu.
 
Back
Top Bottom