Bajaji Limousine

lina nguvu hapo kati kati kweli?
hilo tu kuna masuala ya kujibu hapa.
-Mbele kunatairi moja , kulingana na urefu wa "gari" stability yake salama kweli?3 point support)
-Uzito wa mzigo(abiria karibia 7 pamoja na dereva), "engine ya "gari" inaweza kuhimili?
salama wa abiri upo kweli? naona vi-pipe tu kama support ambavyo havikidhi mtu kujishikilia

Hilo gari ni hatari kwa matumizi ya binadamu.
 

Na hizi barabara zetu za mabondeni sijui kama litahimili
 

Ifungie injini ya corolla na chesisi ya guta na mambo swafi.
 
Kwanini wametengeneza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…