Bajaji inahitajika

keygun

Senior Member
Jun 11, 2016
114
54
Nahitaji bajaji bajeti yangu ni Mil 3, nipo dar, iwe katika hali nzuri, na iwe na vibali husika na isiwe na Deni, kwa aliyo nayo tuwasiliane nije kuiona tufanye biashara.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom