afu mtoto una shida wewe, haya sasa umetoka kusamehewa jana tu leo tena miadi na Filipo, afu utujie tena na thread ya kuomba msamaha tena kuwa ni shetani alikupitia, utaeleza vizuri alikupitia muende wapi,
Duh!!!!!!!! Hawa jamaa akili zao zote zinafanana!! Namaanisha madereva na makondakta wa vyombo vya usafiri. Halafu hao walioko nyuma si wanawake?
Hahahaha Baba V unayaamini maneno ya Blaki Womani???...lol!
kasema anaenda kupata supu ya utumbo afu anashushia na kiroba, hiyo akili ntaiamini kweli!!!!? lol
Duh!!! ya wapi hii mkuu???
Mumbai-india
Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
Ni kigogo mbona huelewi....teh teh teh...ni jina tu kama majina mengine. Ila sweetlady..sweet upande gani?