Hahahahah wifi ndio nini kuweka siri za wenzio hadharani?
kwa hiyo mwenye kanzu ndo nitonye, au!?nimepita tu
hahahahaha wifi nisamehe nakuonea huruma mpaka nikaponyokwa na maneno
Msamaha gani unaomba hata hujapiga magoti?
hahahahahah wewe kajura nini
Hahahahah wifi ndio nini kuweka siri za wenzio hadharani?
We subiri kakako akukute unavyomsema hapa!......utanyimwa ofa ya kutufuata Kempisk shauri lako!