Bajaji ampiga pasi Benzi!!!

Bajaji ampiga pasi Benzi!!!

Lole Gwakisa

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2008
Posts
4,773
Reaction score
2,383
Ni kawaida siku hizi bajaji kutanua na kuovateki upande wa kushoto, isivyo sheria.
Asubuhi ya leo pale Mlalakuwa-JKT, bajaji katika kufosi kupita , lahaula kampiga pasi benzi.

Mtu wa kitu expensive-benzi- akatoka na kukagua gari yake na kumpa vibao viwili vitatu kabla ya kumwamuru bajaji waelekee Kawe kituoni.
Ni kawaida asubuhi foleni ya kwenda mjini ni magari mawili mawili, na moja kurudi Kawe/Mbezi, hivyo bajaji kwa kutanua zaidi kajikuta matatani. IMG_3137.JPG
 
Mkuu kitu izuri hiki lakini siyo class.
Baada ya miaka kumi hapa bodi kwishmey ila engine inawaka.

Mkuu mwanza ni kunusa,route za dar-songea unapanga safari saa4,saa 6 unasepa saa 3 usiku uko songea
mafuta inakula fresh,rough road iko strong,haijawahi kufunguliwa engine,mileage elf 90.
 
Mkuu mwanza ni kunusa,route za dar-songea unapanga safari saa4,saa 6 unasepa saa 3 usiku uko songea
mafuta inakula fresh,rough road iko strong,haijawahi kufunguliwa engine,mileage elf 90.

Haya bana, we mkari!
Hala hala utelezi milima ya Lukumbulu.
 
Nissan pickup siyo gari comfortable hasa kwa kusafiri umbali mrefu. Iwe navara iwe hardbody. Ukikaa cabin ya nyuma kama safari ni ndefu basi utafika hoi.

Patrol imetulia na ni comfortable.

This applies kwa watu warefu,ukiwa kipipiro kama mimi hapa unakaa cabin ya nyuma very comfortable
it also depends na seat za mbele zimekaaje,if you talk abt comfortability V8 is more comfortable than patrol
 
Teh teh teh teh unatk nikuuzie nn mkuu?hapo bado lilikuwa japan mkuu
unataka picha ya dsm?
Mkuu Nigga umesomeka bila shaka. Tuendelee kuwa pamoja Jamvini.
Siku njema.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom